Leo tuongee na wanaume vibonge, mnazingua sana wanetu

Status
Not open for further replies.
sio nzuri sana hiyo hali, punguza kwa ajili ya afya

mambo ya kuteseka na pressure, visukari sio poa

nina kakitambi ka kichokozi kale ukisimama hakaonekani ukikaa kanaonekana lakini nakichukia kama nini, napambana nacho
 
Matusi yapo kitandani hii ni misemo tu dr manyau nyau ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Uchokoziiii ๐Ÿ˜ƒ huu wa ngumii kabisaaa.

We mchokozi/ mtundu/una vurugu ๐Ÿ˜Šโ˜บ๏ธ

Jana nimetibuana na huyo muhasisi wa hilo jina la Dr nyau nyau mnaitaji BAKORA ๐Ÿ˜Šโ˜บ๏ธ
 
sio nzuri sana hiyo hali, punguza kwa ajili ya afya

mambo ya kuteseka na pressure, visukari sio poa

nina kakitambi ka kichokozi kale ukisimama hakaonekani ukikaa kanaonekana lakini nakichukia kama nini, napambana nacho
Hakitoki hicho kitambi huyo ni MGENI ๐Ÿ˜Šโ˜บ๏ธ Zaidii ni kuongezeka.........

Binafsi kwa waafrika Huwa Wana kasumba ya kuheshimu mtu akiwa bonge bonge kiasi ukiwa mwembamba sana unadharaulika kabisa kabisa

Ukiwa mwembamba/ umekondakonda Kuna sehemu hata kiti unaweza kunyimwa kabisa ๐Ÿ˜Š ๐Ÿ˜ƒ
 
Watu wanene sio wastaarabu, ukianzia ulaji wao hata table manner hawaga hawa watu yaan kutafuna utasema chakula utasema sio chake, kingine kwenye kulala wanakoroma aseee !! Utalishtua litajigeuza geuza linaanza tena kukata mbao !!

Kwenye seat za gari sasa hawakaagi kwa ustaarabu yaan wao wanadhani kupata mwili ndo kila kitu ๐Ÿ˜‚

Kingine sipendi ni ile michirizi au unaweza kuta pisi imependeza ila ukitoa nguo ina kama vishimo shimo
 
Kuna mmoja amekumbuka shuka kumekucha anakuja gym kufanya mazoezi tumbo kubwaaaa limefunika mpaka kwenye serikali ๐Ÿ™Œ anahemea juu kama anakata moto
 
Mkuu naona umeamua uhamie upande wa mabwanyenye..๐Ÿ˜‚
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ