Leo tuongee na wanaume vibonge, mnazingua sana wanetu

Status
Not open for further replies.
Tena bora ayo yote afanye bonge msafi sasa unakutA mwingne ni bonge afu mchafu boxer chafu na ukikaa nae kuna ka harufu frani unakasikia
Kuna wenye vitambi pekee hao kidogo nafuu sasa wengine ni kujazia mipaja mashavu manyonyo km funza yani,, sipendi wanaume wanene eeh Mungu nisaidie, hata nikipanda nao usafiri siwaongeleshi,

Hiyo harufu ni ya utoko wa msuguano kwenye mfereji wa matako na mbanano wa mapaja
Unene una mahusiano ya karibu na uzezeta
 
Yes suruali ziwe kama mifuko ya mashine na shati kama la kufunika IST.
 


NYIE WANAWAKE HAMJUI MNACHOTAKA MTU AKIWA KIBONGE MNATAKA MWEMBAMBA AKIWA MWEMBAMBA MNATAKA MWENYE NYAMA SASA USEME UNATAKA PESA AU MWILI?MAANA KESHOKUTWA UTAKUJA ANZISHA UZI KUWA SISI VIMBAU MBAU TUNAKUZINGUA. WE KAMA MWANAUME ANAKUPELEKEA MOTO UZITO WAKE UNAHUSIKAJE HAPO?
 
Kama mimi na lile li ZIM lilochafuwa hali ya hewa pale MAGOGONI!
 
Mtu
Vobonge wanamsumbua mpaka "Mama" si wanenu tu.

Anasema unamzungumzia yeyeee?

Unamjua yeye nani?

Anaweza kukupeleka kwenye VPN ya VPN πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 3479467
Mtu una kuwa na mihela mingi halafu unakuwa bonge kama hivyo hata kulomba unalombaje Sasa dahh
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…