KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Nimejaribu kuona mlolongo wa vituko hapa JF na hasa CC na mambo yanavyoendelea naona mimi nitakuwa naenda LEO TUPO HAPA PUB!!Kama mteja nasiyo tena kama mwana CC kama tulivyokuwa tumezoea!naomba nisimkopi mtu ikaonekana tunanjama!!Naomba radhi kwa madhira yoyete yatakayotokea.
Nikwa sababu ya kuendele kuwa mteja mzuri wa LEO TUPO HAPA PUB!!.
Nikwa sababu ya kuendele kuwa mteja mzuri wa LEO TUPO HAPA PUB!!.