Nimejaribu kuona mlolongo wa vituko hapa JF na hasa CC na mambo yanavyoendelea naona mimi nitakuvwa naenda LEO TUPO HAPA PUB!!Kama mteja nasiyo tena kama mwana CC kama tulivyokuwa tumezoea!naomba nisimkopi mtu ikaonekana tunanjama!!Naomba radhi kwa madhira yoyete yatakayotokea.
Nikwa sababu ya kuendele kuwa mteja mzuri wa LEO TUPO HAPA PUB!!.
Ruttashobolwa njoo saidia huku please....sijamuelewa KakaKiiza
Nitakupitia hapo nikimaliza lindo langu.
wewe umekaa ndani nini? toka nje hapa washikaji walipo simama. miaNaona tunapishana au huko baa ya pili tazama kwenye dimbwi!au upa unacheza pool?
Nilikuwa nakuja nikazuiwa na mafara sijui wanani mabasi kibao kesho basi tukutane hapo mkuu!