blackmamba7
Member
- Jul 12, 2020
- 29
- 9
Bei zao vip kwenye misosi- hapo dream garden....Mativila beach wako na huduma aghali Ila hakuna la maana..
Jiwe langu nikienda ni dreamgarden..wanasamaki kwatu Sana!
Hahhahahahahaaha.... Umetisher mzee babAMm namuona jiwe km shetani
Mkuu ushaingiza siasa...tueleze utaliii wa musoma maraMm namuona jiwe km shetani
Nilikuwa Singida Juzi Safi Maeneo Ya Kula Na Club Tele
Haa 😀😁😂 Niko Shinyanga Muda Huu Ndiyo Aibu Sehemu Nzuri Za Chakula Shida. Unayemuuliza Akikuelekeza Ukifika Oops!!! Hutataka Hata Kupaona Tena
Mlioko Shinyanga Nitajieni Viwanja
Shy ukimwambia Boda akupeleke hotel nzuri anakupeleka mgahawani...
Kuna sehem inaitwa level 8 iko aposhinyanga mjini.....inafanana Sana na level 8 ya goldcrest mwanza...ni pazur kweli lakini kwa upande wa vinywaji....Nilikuwa Singida Juzi Safi Maeneo Ya Kula Na Club Tele
Haa [emoji3][emoji16][emoji23] Niko Shinyanga Muda Huu Ndiyo Aibu Sehemu Nzuri Za Chakula Shida. Unayemuuliza Akikuelekeza Ukifika Oops!!! Hutataka Hata Kupaona Tena
Mlioko Shinyanga Nitajieni Viwanja
Chamsingi uwe na details mwenyewe maeneo mazuri na majina yako ....ukitegemea boda akusuggestie unaweza kua disappointed...unless umpate tour guideWewe Ni Mwenyewe
Hapa Tulimwambia Boda Oops Alipotupeleka Shida
Ukiwaambia Wakuelekeze Ndiyo Utakuwa Hoi
Hawajui
Haya maeneo hujafafanua mkuu Kuna nnMwigobhelo, nyamatare, rwamlimi, kamunyonge, nyakato, nyasho, mwisenge..
Shukran mkuu ...ebu nianze kuyatembelea...Nimetoka apo mwaka 2014 nikarudi 2019 but sijui kama viwanja vimebadilika
Kuna club meteo po.
Ukitaka nyama choma nzuri nenda kerio bar iko bus stop karibu na hospital apo.
Ukitaka Malaya au wanawake wa kunywa nao na kula tunda nenda Iringo, Tembo beach nenda jumapili kuanzia saa 9 jioni na leo skukuu kuna watu wengi sana, zaidi ya apo nenda Penunsula beach Makoko, panda mtaa wa Makongoro apo kuna bar imetengenezwa na jamaa iko poa pia kwa kutulia ukivinjali upepo taratibu zaidi ya apo Musoma ni ndogo sana kwa sehemu za starehe japo watu wake wanapenda sana bata
Rwamlimi Kuna Chaka gan zaidi ya maasai Mara mkuu?Mwigobhelo, nyamatare, rwamlimi, kamunyonge, nyakato, nyasho, mwisenge..
Tembo beach 02:47Nimetoka apo mwaka 2014 nikarudi 2019 but sijui kama viwanja vimebadilika
Kuna club meteo po.
Ukitaka nyama choma nzuri nenda kerio bar iko bus stop karibu na hospital apo.
Ukitaka Malaya au wanawake wa kunywa nao na kula tunda nenda Iringo, Tembo beach nenda jumapili kuanzia saa 9 jioni na leo skukuu kuna watu wengi sana, zaidi ya apo nenda Penunsula beach Makoko, panda mtaa wa Makongoro apo kuna bar imetengenezwa na jamaa iko poa pia kwa kutulia ukivinjali upepo taratibu zaidi ya apo Musoma ni ndogo sana kwa sehemu za starehe japo watu wake wanapenda sana bata
Basi nenda bweri, makoko, kwangwa au kigera etuma....nitakupitia twende mabhui merafuru usiwe na shaka..Rwamlimi Kuna Chaka gan zaidi ya maasai Mara mkuu?
hivi Mara dishes bado ipo ?