Leo tupo Musoma

Leo tupo Musoma

blackmamba7

Member
Joined
Jul 12, 2020
Posts
29
Reaction score
9
Habar jf
Kama mwenyeji wa musoma ,mkoa wa Mara.Tuwekee hapa maeneo ambayo Mgeni akija haitakiwi ayakose kuyatembelea!!

Sehem za starehe (club,bars,pub na night club)
Sehem Kali za misosi-(restaurant,hotels)
Sehem za utalii..(beach,majengo maarufu,garden n.k
Haya twende kazi

Mpaka Sasa nimeshazijua
Tembo beach
Mativila beach
Dream gadern
Suggest nyingine
 
Nilikuwa Singida Juzi Safi Maeneo Ya Kula Na Club Tele
Haa 😀😁😂 Niko Shinyanga Muda Huu Ndiyo Aibu Sehemu Nzuri Za Chakula Shida. Unayemuuliza Akikuelekeza Ukifika Oops!!! Hutataka Hata Kupaona Tena

Mlioko Shinyanga Nitajieni Viwanja
 
Nimetoka apo mwaka 2014 nikarudi 2019 but sijui kama viwanja vimebadilika
Kuna club meteo po.
Ukitaka nyama choma nzuri nenda kerio bar iko bus stop karibu na hospital apo.

Ukitaka Malaya au wanawake wa kunywa nao na kula tunda nenda Iringo, Tembo beach nenda jumapili kuanzia saa 9 jioni na leo skukuu kuna watu wengi sana, zaidi ya apo nenda Penunsula beach Makoko, panda mtaa wa Makongoro apo kuna bar imetengenezwa na jamaa iko poa pia kwa kutulia ukivinjali upepo taratibu zaidi ya apo Musoma ni ndogo sana kwa sehemu za starehe japo watu wake wanapenda sana bata
 
Nilikuwa Singida Juzi Safi Maeneo Ya Kula Na Club Tele
Haa [emoji3][emoji16][emoji23] Niko Shinyanga Muda Huu Ndiyo Aibu Sehemu Nzuri Za Chakula Shida. Unayemuuliza Akikuelekeza Ukifika Oops!!! Hutataka Hata Kupaona Tena

Mlioko Shinyanga Nitajieni Viwanja
Kuna sehem inaitwa level 8 iko aposhinyanga mjini.....inafanana Sana na level 8 ya goldcrest mwanza...ni pazur kweli lakini kwa upande wa vinywaji....
Unakunywa huku unaangalia mji kwa juu...pana view nzuri
Ila sjawahigi kula hapo ....ila unaeza enda unaweza kuta msosi uko vizuri
 
Wewe Ni Mwenyewe
Hapa Tulimwambia Boda Oops Alipotupeleka Shida
Ukiwaambia Wakuelekeze Ndiyo Utakuwa Hoi
Hawajui
Chamsingi uwe na details mwenyewe maeneo mazuri na majina yako ....ukitegemea boda akusuggestie unaweza kua disappointed...unless umpate tour guide
 
Nimetoka apo mwaka 2014 nikarudi 2019 but sijui kama viwanja vimebadilika
Kuna club meteo po.
Ukitaka nyama choma nzuri nenda kerio bar iko bus stop karibu na hospital apo.

Ukitaka Malaya au wanawake wa kunywa nao na kula tunda nenda Iringo, Tembo beach nenda jumapili kuanzia saa 9 jioni na leo skukuu kuna watu wengi sana, zaidi ya apo nenda Penunsula beach Makoko, panda mtaa wa Makongoro apo kuna bar imetengenezwa na jamaa iko poa pia kwa kutulia ukivinjali upepo taratibu zaidi ya apo Musoma ni ndogo sana kwa sehemu za starehe japo watu wake wanapenda sana bata
Shukran mkuu ...ebu nianze kuyatembelea...
Ingawa tembo beach nilienda saa8:30 nikaona hamna watu kabisa
 
Nimetoka apo mwaka 2014 nikarudi 2019 but sijui kama viwanja vimebadilika
Kuna club meteo po.
Ukitaka nyama choma nzuri nenda kerio bar iko bus stop karibu na hospital apo.

Ukitaka Malaya au wanawake wa kunywa nao na kula tunda nenda Iringo, Tembo beach nenda jumapili kuanzia saa 9 jioni na leo skukuu kuna watu wengi sana, zaidi ya apo nenda Penunsula beach Makoko, panda mtaa wa Makongoro apo kuna bar imetengenezwa na jamaa iko poa pia kwa kutulia ukivinjali upepo taratibu zaidi ya apo Musoma ni ndogo sana kwa sehemu za starehe japo watu wake wanapenda sana bata
Tembo beach 02:47
IMG_20200731_144528_5.jpg
 
Back
Top Bottom