Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

πŸ˜”πŸ˜­
 
Tulimficha mama yetu khs kifo cha magufuli.sababu pia alikuwa amepata nafuu baada ya kuugua muda mfupi...lakini baada ya siku 2 mbele mama alienda zake pia.ikifika kipindi hiki nakuwa na majonzi sn.
 
Namshukuru Mungu kwa kuendelea kuwa mfariji wangu baada ya kufiwa na mama yangu.
 
Tulimficha mama yetu khs kifo cha magufuli.sababu pia alikuwa amepata nafuu baada ya kuugua muda mfupi...lakini baada ya siku 2 mbele mama alienda zake pia.ikifika kipindi hiki nakuwa na majonzi sn.
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…