Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Naanza na Ja Rule. Mwamba alitikisa miaka ile kwanzia mziki mpaka picha zake zilikuwa zinabandikwa sana kwenye magari.

Afu mwamba mwingine ni Nelly aliwaharibu sana vijana wa Kitanzania kila mmoja alikuwa anabandika plasta shavuni😂😂

Kulikuwa na t-shirt flani zina oicha yake zilivaliwa sana!
 
Nicki Minaj, huyu dada ni shidaah wowo linampa jeuri Hata kuimba anajua pia
 
Kuna mwamba wa kuitwa chanta walla na ruda criss na huyu rhsm na huyu jamaa wakuja hapa bongo baada ya kuona kiingilio cha wabongo kwenye show yake ni hela ya kula maandaz akasema mkawape maskin haha vuta picha jamaa kasamehe m200
 
Madada wale wa New York ndio walikuwa wanachana vibaya mpaka leo niko full stream yao. Naongeaa kuhusu Da Brat, Eve, Lil Kim Mother of New York. Baadae akaja kuibuka huyu dada mfupi mweusi wa kuitwaa niko tungi saa hizi nasahau majina. Okay ntarudi huu uzi usiondoke nataka kutoa la moyoni
 
T.I mnyama Sana na dude lake la Live your Life , na lile jingine la whatever you like , aisee huyu jamaa namkubali sana

Wale ndio watu sasa. Live your life made milions of dollars and the money still coming in. Yaani nyimbo moja tu mtu ananunua hekalu. Siku hizi hip hop zao hawa kina Lil nani sijui sisikilizagi
 
Back
Top Bottom