Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

Naanza na Ja Rule. Mwamba alitikisa miaka ile kwanzia mziki mpaka picha zake zilikuwa zinabandikwa sana kwenye magari.

Afu mwamba mwingine ni Nelly aliwaharibu sana vijana wa Kitanzania kila mmoja alikuwa anabandika plasta shavuni😂😂

Kulikuwa na t-shirt flani zina oicha yake zilivaliwa sana!
Ja rule,song
'Always on time '

Aisee those days mtu una daftari la mashairi
🤣🤣

...baby I'm always there when u call
Always on time
Give u my all
Baby be mine....

R.kelly....storm is over,if I could turn back the hands..
Joe Thomas..
Snoop
Dr Dre...still Dre song
50 cent...21 qn song,PIMP
Whitney Houston..I ll always love u
List ni ndefuuu,kabila wengine hatujapata neema ya Yesu🙌🤣
 
Back
Top Bottom