Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

Kuna majamaa walifanya ngoma inaitwa "Maria Maria" humo kuna gitaa la Santana ni noma na nusu!
Wale masela wanaitwa THE PRODUCT G&B

Santana hanaga kazi mbovu,mzee mzima anatunga zake wimbo kisha anatafuta wasanii wa kuwashirikisha akija kuachia ngoma ni 💥
Kuna wimbo wake unaitwa SMOOTH
 
Haijawahi kutokea kabisa aisee. Na kilichowasaidia wengi wao walikuwa wakichukua nyimbo za miaka ya nyuma za wasanii wakongwe na kuzifanyia modification na kuzitengeza kisasa na ndio maana walikuwa wanatoa ngoma kali.

Fuatilia asilimia 90 ya ngoma zilizotamba unakuta beat imekuwa sampled kutoka nyimbo ya zamani ya miaka ya 80,70,60,au 50 huko zamani.

Wanasema ukichukua kazi ya legend au style yake ukaifanyia maboresho lazima utoke na kazi bora mara mbili ya ile ya aliyefanya awali. So ule ubora ndio unakubeba.
Westlife na UB40 ndio zao
 
Naanza na Ja Rule. Mwamba alitikisa miaka ile kwanzia mziki mpaka picha zake zilikuwa zinabandikwa sana kwenye magari.

Afu mwamba mwingine ni Nelly aliwaharibu sana vijana wa Kitanzania kila mmoja alikuwa anabandika plasta shavuni😂😂

Kulikuwa na t-shirt flani zina oicha yake zilivaliwa sana!
Mwaka 1997 wimbo wa Puffy Daddy wa kumkumbuka Notorius BIG baada ya kufariki
Walishirikiana na Faith Evans
Ulikuwa ni wimbo wa maombolezo lakini ulitamba sana


View: https://www.youtube.com/watch?v=NKMtZm2YuBE&pp=ygUubm90b3Jpb3VzIGJpZyBmaXRoIGV2YW5zIGkgd2lsbCBiZSBtaXNzaW5nIHlvdQ%3D%3D
 
Back
Top Bottom