Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

Black box, New edition, Five Star, MC Hammer, KrissKross, The Wacko Jacko, Jamine Dupri e.tc
 
West life
Madonna..Goodbye
Dolly Paton
Judy Boutcha.. Can't be with you
Ashanty
J. Lo
Left Eye
Enrique Iglesias...Roamer
50 Cent.. In da club
Buster rhymes
Lil Kim
Aaliyah
Snop Doggy
Fat Joe
Eve...mpaka leo kwangu huyu ndio best female rapper
Lil Bow wow
Mariah Carey
Kelly Rowland.* Huyu atakuwa na mtoto wangu maana katika picha za kupigia pulley chooni tulipokuwa tunasoma boarding, ilikuwa my favourite na wakati huo balehe ndio imeingia.Kwa siku nilikuwa nampiga hata bao tano
 
Madada wale wa New York ndio walikuwa wanachana vibaya mpaka leo niko full stream yao. Naongeaa kuhusu Da Brat, Eve, Lil Kim Mother of New York. Baadae akaja kuibuka huyu dada mfupi mweusi wa kuitwaa niko tungi saa hizi nasahau majina. Okay ntarudi huu uzi usiondoke nataka kutoa la moyoni
Eve na goma lake la Tambourine

Dah enzi hizo niko skonga

Nilikuwa namkubali sana
 
PLasta ya Nelly ilikuwa SHIDA, mabitozi waliibandika bila kujua maana yake, kumbe ilikuwa ni protest na namna ya kumkumbuka member mwenzao wa St Lunatics aliyekuwa kafungwa jela. Enzi hizo nikienda internet cafe Iringa mitaa ya uhindini ilikuwa lazima usikie computer zaidi ya nne zinaplay back Neeeely I love youuuuuu, Nely iii neeeeed you, hatari sana
Nelly 50 cent walivuruga sana watu mjini hapa
 
Umemaliza mimi nilikua teja nalifatiliaga adi life style yake na mkewe tammy (mmbaya)😂😂😂ila ndio ivyo mwamba kazimia pale.

Sikumbuki vizuri na youtube haipo siku izi iyo live show video inaanza wherever you like matukiotukio flan then anaibukia stejin kwa nyuma huku rihana yuko stejin anaimba ni bonge la show yaaaaaaaaani live long goat.
Yule mkewe inasemekana alikua na fuba la kutosha sana
 
images.jpeg
 
Kuna mwamba wa kuitwa chanta walla na ruda criss na huyu rhsm na huyu jamaa wakuja hapa bongo baada ya kuona kiingilio cha wabongo kwenye show yake ni hela ya kula maandaz akasema mkawape maskin haha vuta picha jamaa kasamehe m200
Chai
 
EXHIBIT huyu mwamba hatajwi sana ila ana dude lake silikumbuki vizuri jina beat yake imeshiba mpaka basi, something like easy kuna mwanadada ameimba chorus
 
Back
Top Bottom