Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Haijawahi kutokea kabisa aisee. Na kilichowasaidia wengi wao walikuwa wakichukua nyimbo za miaka ya nyuma za wasanii wakongwe na kuzifanyia modification na kuzitengeza kisasa na ndio maana walikuwa wanatoa ngoma kali.Tuache utani kuanzia 1990 mpaka 2010 palikua na wanamuziki wanaojua kuimba
Fuatilia asilimia 90 ya ngoma zilizotamba unakuta beat imekuwa sampled kutoka nyimbo ya zamani ya miaka ya 80,70,60,au 50 huko zamani.
Wanasema ukichukua kazi ya legend au style yake ukaifanyia maboresho lazima utoke na kazi bora mara mbili ya ile ya aliyefanya awali. So ule ubora ndio unakubeba.