Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Hatari sanaKuna majamaa walifanya ngoma inaitwa "Maria Maria" humo kuna gitaa la Santana ni noma na nusu!
Kuna ngoma ya lost Boys inaitwa renee jamaa anachanika balaaBow Wow. Grew up idolizing that midget bana.
Lost Boyz.
Naughty by Nature.
Nicki Minaj, huyu dada ni shidaah wowo linampa jeuri Hata kuimba anajua piaNaanza na Ja Rule. Mwamba alitikisa miaka ile kwanzia mziki mpaka picha zake zilikuwa zinabandikwa sana kwenye magari.
Afu mwamba mwingine ni Nelly aliwaharibu sana vijana wa Kitanzania kila mmoja alikuwa anabandika plasta shavuni😂😂
Kulikuwa na t-shirt flani zina oicha yake zilivaliwa sana!
T.I mnyama Sana na dude lake la Live your Life , na lile jingine la whatever you like , aisee huyu jamaa namkubali sana
Top back, Let's get away, I'm a King..., Rubber band....ebwana TI ni habari nyingine kabsaaaaT.I mnyama Sana na dude lake la Live your Life , na lile jingine la whatever you like , aisee huyu jamaa namkubali sana
Ile ngoma ndio Dj khaled kasimple ngoma yake ya Wild Thoughts featuring Rihanna goma tamu sana lile...Kuna majamaa walifanya ngoma inaitwa "Maria Maria" humo kuna gitaa la Santana ni noma na nusu!