Leo tuwape Mods na Kiongozi Melo maua yao. Mod gani anakukosha? Alifanya kitu gani ukafurahia uwepo wako JF?

Leo tuwape Mods na Kiongozi Melo maua yao. Mod gani anakukosha? Alifanya kitu gani ukafurahia uwepo wako JF?

Black Opal

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
233
Reaction score
298
Wakuu kwema?

Mada inajieleza kabisa hapo. Leo ni tuwape Mods wa JF pamoja na Muanzilishi wa JF, kioo cha wengi Bwana Maxence Melo maua yao. Sema jinsi Mods na Melo wanavyosaida siku yako iwe nzuri kila unapoingia JF. Ulifanyiwa kitu gani kikakupendeza mpaka ukatamani uwatoe hata ka ofa ka kupata msosi kwa Shishi Fudi?

Leo ndio siku ya kuwapa maua yao. Twende kazi...

NB: Uzi huu ni kwaajili ya kuwapa maua yao tu, kama unataka kulalamika nenda kwenye uzi ule wa malalamiko ukatapike kule.
 
Mnajifanya mna machungu utafikiri wanachokifanya ni ubaya mwanzo mwisho. Hamjawahi kufanyiwa jema hata moja la kushukuru?
 
😏😏😏😏😏🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮!!
 
Nilikuvua vyeo, siku nilipo ona sehem umeandika kwamba unapenda kula vitu vitamu.....cake na chocolate ☹️
We jamaa wewe😂😂kwanza nilikuwa namjibu mtu, halafu unawezaje kujihakikishia huyu ni jinsia fulani kwakuwa tu mtu ameweka uzi hapa? Si unaweza ukaamua kuigiza kuwa yoyote na kuwaacha watu kama wewe watoke povu tu?
 
Kumbe weni Me...😳Samahani mkuu...🙊
Lakini sasa inakuaje Me anapenda cakes and chocolate...🤔
 
Back
Top Bottom