Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
Kawasulubu kwenye uzi wa kuwasulubu hapa ni maua tuWasulubiwe
Hahahaha!!!Nilikuvua vyeo, siku nilipo ona sehem umeandika kwamba unapenda kula vitu vitamu.....cake na chocolate ☹️
We jamaa wewe😂😂kwanza nilikuwa namjibu mtu, halafu unawezaje kujihakikishia huyu ni jinsia fulani kwakuwa tu mtu ameweka uzi hapa? Si unaweza ukaamua kuigiza kuwa yoyote na kuwaacha watu kama wewe watoke povu tu?Nilikuvua vyeo, siku nilipo ona sehem umeandika kwamba unapenda kula vitu vitamu.....cake na chocolate ☹️
Kumbe weni Me...😳Samahani mkuu...🙊We jamaa wewe😂😂kwanza nilikuwa namjibu mtu, halafu unawezaje kujihakikishia huyu ni jinsia fulani kwakuwa tu mtu ameweka uzi hapa? Si unaweza ukaamua kuigiza kuwa yoyote na kuwaacha watu kama wewe watoke povu tu?