Leo ukimgegeda, kesho yake unapata mkwanja~ (Ushirikina au Karama?)

Hii nitakupa at your own risk, mama kijacho akishtukia nitamwambia ulinibaka!

hahaaa kama ni hivyo karama yako kaa nayo tu,tusimhurt mama Kijacho,ngoja niendelee kutafuta sehem nyingine......,
si tumeambiwa tusichoke kutafuta........,
 
hahaaa kama ni hivyo karama yako kaa nayo tu,tusimhurt mama Kijacho,ngoja niendelee kutafuta sehem nyingine......,
si tumeambiwa tusichoke kutafuta........,

ukikosa kabisa sehemu nyingine uniambie niangalie namna ya kumwibia mama kijacho walau mara moja tu
 
ukikosa kabisa sehemu nyingine uniambie niangalie namna ya kumwibia mama kijacho walau mara moja tu

hahaahaa sawa ila ngoja nimsisitizie Amicus Curiae aendelee kunitaftia katika hiyo mitaa
kuiba mwenzio naogopa......,
 
Last edited by a moderator:
Loh..........ukistaajabu ya ............
 
Hii mpya....udadisi ulimuua paka....usisahau hilo. Ukimaliza kesho yake ukapigiwa simu za watu wamejitolea kukununulia jeneza zuri na kugharamia mazishi uone ni bahati pia.
 
Nasikia ukitaka nyingi zaidi piga kavukavu ingia kwenye munyu Kesho yake kamilionea!

Go bro!!
 
it is a Lehman thinking based on correct reasoning ni kwamba three things zimetokea simultenously : umemgegeda, umepata maambukizi na settlement ya deni vyote simultenously so are you among them? pole ? it may be just hear say
 

Inamaana na wewe umemgegeda na umepata pesa?
Tukiacha swala la kugegeda tu ni wazi kuwa kuna wanawake ukiwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi wanakuwa kama baraka kwako na unakuta mambo yako yanafanikiwa na unakuwa na furaha wakati wote na ikitokea mmeachana mambo yanakuwa tofauti na mwanzo na hili mimi silichukulii kama ushirikina bali ni bahati tuu,

Na kuna wanawake ukiwa nao inakuwa kama mkosi vile na mambo yanakwenda ndivyo sivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…