Mbowe ni CCMKumchagua Mbowe ni kuifanya Chadema kuwa kigango cha CCM. Kataa CCM kataa Mbowe
CHADEMA ya kiharakati chini ya Tundu Lissu itakuwa na mvuto kwa watu wengi kuliko hii ya Mbowe.Baada ya kuvuka uanaharakati kwa mawazo yako chadema imesinyaa au imechanua?
Ukilinganisha chadema iliyokuwa ya kiharakati na hii unayosema imevuka ni ipi inakubalika na kuwa tishio kwa ccm?
Tunakwenda na Tundu Lissu na john Heche.Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana.
Lissu ataivuruga CDM kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukosa uzoefu na uvumilivu kwa wanachama wenzake. Mbowe anahitajika kwa CHADEMA kuendelea kuwa chama kikuu cha siasa Tanzania.
Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana.
Lissu ataivuruga CDM kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukosa uzoefu na uvumilivu kwa wanachama wenzake. Mbowe anahitajika kwa CHADEMA kuendelea kuwa chama kikuu cha siasa Tanzania.
Mimi ni CDM pure, soma posts zangu, nataka kuinusuru CDM na siasa za kitoto.CCM mnataka muendelee kuiba chaguzi halafu mjisifu majukwaani na kwenye mikutano yenu kuwa mmeshinda kwa kishindo. Kwa hilo nitakwenda na Wanaharakati. Hatutaki hayo maridhiano ya uongo uongo kupotezeana muda na kutufanya Watanzania wajinga.
Mimi ni CDM pure, soma posts zangu, nataka kuinusuru CDM na siasa za kitoto.