Leo wakati nipo usingizini nimeota namuulizia Saed Kubenea

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Habari zenu

Naomba kuleta mada kama inavyojieleza kwenye kichwa habari,nazani alikuwa mbunge machachari katika wakati wake mwenye ushawishi katika upande wa upinzani ila naona amezika kama moto wa kifuu ghafla mjini haonekani au yupo busy na uhariri?

Nawasilisha
 
habari zenu

naomba kuleta mada kama inavyojieleza kwenye kichwa habari,nazani alikuwa mbunge machachari katika wakati wake mwenye ushawishi katika upande wa upinzani ila naona amezika kama moto wa kifuu ghafla mjini haonekani au yupo busy na uhariri?

nawasilisha
Ccm iliwahadaa kupitia Mbatia kuwa wahame chadema ili wakale mema ya nchi NCCR matokeo yake wamekfa kisiasa
 
Shadowing Propaganda against Saed Kubenea has started again, kama wakati ule aliomwagiwa tindikali.
 
Kwa uadui wake na mbowe wanaweza kum saanane... ila kwa aliyoyafanya nyakati zile jamaa ni mwamba kweli kweli
kapotea ghafla na alijitahidi kuwa juu kwenye soko la siasa.
Ccm iliwahadaa kupitia Mbatia kuwa wahame chadema ili wakale mema ya nchi NCCR matokeo yake wamekfa kisiasa
mbona yule dkt Risasi amerudi kundini
 
habari zenu

naomba kuleta mada kama inavyojieleza kwenye kichwa habari,nazani alikuwa mbunge machachari katika wakati wake mwenye ushawishi katika upande wa upinzani ila naona amezika kama moto wa kifuu ghafla mjini haonekani au yupo busy na uhariri?

nawasilisha
Itakuwa ulidhamilia ubwabwa wa aribaini, utangoja saana.
 
Back
Top Bottom