Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Hivi hakuunga mkono juhudi kweli?habari zenu
naomba kuleta mada kama inavyojieleza kwenye kichwa habari,nazani alikuwa mbunge machachari katika wakati wake mwenye ushawishi katika upande wa upinzani ila naona amezika kama moto wa kifuu ghafla mjini haonekani au yupo busy na uhariri?
nawasilisha
sikumbukiHivi hakuunga mkono juhudi kweli?
kapotea ni muda mrefu sanaAu ameunga juhudi kimya kimya?.
yupo wapi now daysYupo mujini huyo
Ccm iliwahadaa kupitia Mbatia kuwa wahame chadema ili wakale mema ya nchi NCCR matokeo yake wamekfa kisiasahabari zenu
naomba kuleta mada kama inavyojieleza kwenye kichwa habari,nazani alikuwa mbunge machachari katika wakati wake mwenye ushawishi katika upande wa upinzani ila naona amezika kama moto wa kifuu ghafla mjini haonekani au yupo busy na uhariri?
nawasilisha
kwani makombati fc hawachukui mabaki ya jamaaCcm iliwahadaa kupitia Mbatia kuwa wahame chadema ili wakale mema ya nchi NCCR matokeo yake wamekfa kisiasa
Shadowing Propaganda against Saed Kubenea has started again, kama wakati ule aliomwagiwa tindikali.habari zenu
naomba kuleta mada kama inavyojieleza kwenye kichwa habari,nazani alikuwa mbunge machachari katika wakati wake mwenye ushawishi katika upande wa upinzani ila naona amezika kama moto wa kifuu ghafla mjini haonekani au yupo busy na uhariri?
nawasilisha
kapotea ghafla na alijitahidi kuwa juu kwenye soko la siasa.Kwa uadui wake na mbowe wanaweza kum saanane... ila kwa aliyoyafanya nyakati zile jamaa ni mwamba kweli kweli
mbona yule dkt Risasi amerudi kundiniCcm iliwahadaa kupitia Mbatia kuwa wahame chadema ili wakale mema ya nchi NCCR matokeo yake wamekfa kisiasa
Itakuwa ulidhamilia ubwabwa wa aribaini, utangoja saana.habari zenu