Leo Wapinzani ndio wanaokimbia nchi; lakini muda mfupi ujao CCM wataanza kukimbia pia

Sawa. Nitasoma.
 
Kwa hio na mimi swali hili linanihusu?
 
Mbona kama kweli maana MAISHA YATAKUWA MAGUMU WATAFEKWA MIPOSHO YOTE NA HAKUNA PAKULALAMIKA.... then UN org itawanyima 2 trillion. Kwamkukosa PAC na LAC Chairperson as per bunge law.. wakija mtaaani tunawazomea na kuwazodoa.... wakitujibu tunawakimbiza mipakani na watu wasiojukikana
 
Ndugu, sijasema CCM watakimbia CHADEMA wakishika dola, kwani kina Hanga na Kambona walikimbia kukiwa na vyama vingi?

Hamna Mlibya anayekufa baharini. Wanaokufa baharini Ni wakimbizi wa Mali, Senegal, Ethiopia etc, Libya Ni njia ya kuingilia Ulaya

Kufunga internet ni utaahira. Serikali iliridhia tamko la umoja wa mataifa kutambua matumizi ya internet kama haki ya Msingi ya mwanadamu
NB;
Umeandika kwa kurudia "hulu", hulu ndio Nini?
 
Mawazo mufulisi.

Mnajitengenezea kiki.

But wakiona nyie mmefeli kuwa vibaraka wao.
Wanaweza watafuta ndani ya CCM.
Mzungu hana shida na wewe mpaka leo karne 21 huna uwezo wa chakula cha kutosha
Madawa ya kutosha alafu ahangaike na wewe utajifia mwenyewe
 
Mzungu hana shida na wewe mpaka leo karne 21 huna uwezo wa chakula cha kutosha
Madawa ya kutosha alafu ahangaike na wewe utajifia mwenyewe
Mbona alimwekea kikwazo Makonda?

Na wengineo wengi from Africa.
 
Inakuja tujiandae.
 
Hii inaitwa no retreat no surrender hamna kuingia hamna kutoka, jiwe tupo naye wote, ni chaguo letu 😀
 
Hakika, tutasikia Vifo vya ajabu vya Viongozi wakubwa kwa ajali za kustaajabisha (Sokoine hakuwa mpinzani)
 
Swala la kuingia ama kutoka ndani ya nchi huwezi mzuia mtu kila mtu anasababu zake za kufanya hivyo.
 
Haitakuwa shida endapo hao CCM nao watakuwa vibaraka ni lazima watimke tu.
Huwezinkufuga fisi ndani ya zizi la mbuzi,
Htaka kama fifi huyo i wako ni bora afukuzwe tu, ukimuacah atauwa mbuzi wote.
Waoinzani ni wasariti sana
 
Mawazo mufulisi.

Mnajitengenezea kiki.

But wakiona nyie mmefeli kuwa vibaraka wao.
Wanaweza watafuta ndani ya CCM.
Endeleeni tu kulifunga hilo JOKA,likija kukosa chakula litawameza na ninyi bila shaka.
Ndipo mtakapokuwa na kilio na kusaga meno,asiwepo mtu wa kuwatetea.
 
Sina cha kuongeza zaidi ya kusema G'taxi umeandika maneno yangu yote[emoji7][emoji1241][emoji122]
Asomae na aelewe
 
Endeleeni tu kulifunga hilo JOKA,likija kukosa chakula litawameza na ninyi bila shaka.
Ndipo mtakapokuwa na kilio na kusaga meno,asiwepo mtu wa kuwatetea.
Sawa huo ni uoni wako.

Huyu raisi wetu ana nia njema na Tanzania!
 
Siku wapinzani wakiacha tabia yao ya kulialia na kujifariji ndo watachukua nchi.
Otherwise CCM itaendelea kutumia hizo weakness kujipatia Ushindi kila mwaka.
 
Haitakuwa shida endapo hao CCM nao watakuwa vibaraka ni lazima watimke tu.
Huwezinkufuga fisi ndani ya zizi la mbuzi,
Htaka kama fifi huyo i wako ni bora afukuzwe tu, ukimuacah atauwa mbuzi wote.
Waoinzani ni wasariti sana
Usaliti wa wapinzani ni upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…