Leo Wapinzani ndio wanaokimbia nchi; lakini muda mfupi ujao CCM wataanza kukimbia pia

Leo Wapinzani ndio wanaokimbia nchi; lakini muda mfupi ujao CCM wataanza kukimbia pia

Soma hizo report za CIA
Sawa. Nitasoma.
 
Highlight nilipoandika wapinzani ni malaika
Kwa hio na mimi swali hili linanihusu?
 
Wahenga wanamisemo mingi sana ya kufundisha, kuonya, kufariji, kukemea na kukupa dira. Miongoni mwa misemo hiyo, Kuna msemo mmoja, "ukiona mwenzio ananyolewa, wewe tia maji".

Msemo huo una maana kubwa sana, pia historia ina utamaduni wa kujirudia.

Siku za karibuni tumeona viongozi wa upinzani eidha wakikimbia nchi, au wakikamatwa baada ya kujaribu kukimbia kuyanusuru maisha yao baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha yao.

Kuna baadhi ya wanachama wa CCM wamekuwa wakiwabeza wapinzani wanaolalamika kutishiwa maisha, wanadhani wao wako salama.

Siku si nyingi zinakuja, Moto na mtifuano mkali utaanza kuwaka ndani ya chama hicho.

Wataanza nao kutekwa, kuuliwa na kutishiwa maisha. Kama kina Kambona na Kassim Hanga walivyokimbia, hii historia inaenda kujirudia.

Hakika ni swala la muda tu
Mbona kama kweli maana MAISHA YATAKUWA MAGUMU WATAFEKWA MIPOSHO YOTE NA HAKUNA PAKULALAMIKA.... then UN org itawanyima 2 trillion. Kwamkukosa PAC na LAC Chairperson as per bunge law.. wakija mtaaani tunawazomea na kuwazodoa.... wakitujibu tunawakimbiza mipakani na watu wasiojukikana
 
    • Swala la upinzani kuja kushinda uchanguzi na wao ccm kukimbia ni sehemu ya maisha kweni nini? Hiyo ndiyo itasababisha tuone kua upinzani unafaa?

    • Waliobeba neno demokrasia pale Libya wakakataa mazuri yaliyo kuwepo leo wako wapi? Ghadafi alikufa na Libya yake ameacha wanakimbia kimbia na kuzama baharini kila siku,Tanzania hatuna kikubwa tunacho hitaji zaidi ya AMANI.

    • Na ningekua mimi ndiyo Rais wa nchi hii nasema wazi ningefunga mitandao yote hii ya kijamii ili tufanye kazi tu kukuza uchumi kwisha. Tungeishi kama nchi ya Brunei na mambo yangekwenda tu

    Acheni kuiga utamaduni wa nje usio tuhusu,maana hata wao hawaigi utamaduni wetu zaidi ya sisi kujipendekeza kwao kuwaambia wakusaidieni kuwatunza uchaguzi haukua hulu na haki

    Tume haiko hulu lakini umechulichukua fomu ya kugombea

    Mahakama haiko hulu lakini unajiandaa kuapa

    Vyombo vya habari haviko hulu lakini mnaviita ili kuzungumza

    UPUUZI.
Ndugu, sijasema CCM watakimbia CHADEMA wakishika dola, kwani kina Hanga na Kambona walikimbia kukiwa na vyama vingi?

Hamna Mlibya anayekufa baharini. Wanaokufa baharini Ni wakimbizi wa Mali, Senegal, Ethiopia etc, Libya Ni njia ya kuingilia Ulaya

Kufunga internet ni utaahira. Serikali iliridhia tamko la umoja wa mataifa kutambua matumizi ya internet kama haki ya Msingi ya mwanadamu
NB;
Umeandika kwa kurudia "hulu", hulu ndio Nini?
 
Mawazo mufulisi.

Mnajitengenezea kiki.

But wakiona nyie mmefeli kuwa vibaraka wao.
Wanaweza watafuta ndani ya CCM.
Mzungu hana shida na wewe mpaka leo karne 21 huna uwezo wa chakula cha kutosha
Madawa ya kutosha alafu ahangaike na wewe utajifia mwenyewe
 
Mzungu hana shida na wewe mpaka leo karne 21 huna uwezo wa chakula cha kutosha
Madawa ya kutosha alafu ahangaike na wewe utajifia mwenyewe
Mbona alimwekea kikwazo Makonda?

Na wengineo wengi from Africa.
 
Wahenga wanamisemo mingi sana ya kufundisha, kuonya, kufariji, kukemea na kukupa dira. Miongoni mwa misemo hiyo, Kuna msemo mmoja, "ukiona mwenzio ananyolewa, wewe tia maji".

Msemo huo una maana kubwa sana, pia historia ina utamaduni wa kujirudia.

Siku za karibuni tumeona viongozi wa upinzani eidha wakikimbia nchi, au wakikamatwa baada ya kujaribu kukimbia kuyanusuru maisha yao baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha yao.

Kuna baadhi ya wanachama wa CCM wamekuwa wakiwabeza wapinzani wanaolalamika kutishiwa maisha, wanadhani wao wako salama.

Siku si nyingi zinakuja, Moto na mtifuano mkali utaanza kuwaka ndani ya chama hicho.

Wataanza nao kutekwa, kuuliwa na kutishiwa maisha. Kama kina Kambona na Kassim Hanga walivyokimbia, hii historia inaenda kujirudia.

Hakika ni swala la muda tu
Inakuja tujiandae.
 
Hii inaitwa no retreat no surrender hamna kuingia hamna kutoka, jiwe tupo naye wote, ni chaguo letu 😀
 
Hakika, tutasikia Vifo vya ajabu vya Viongozi wakubwa kwa ajali za kustaajabisha (Sokoine hakuwa mpinzani)
 
Swala la kuingia ama kutoka ndani ya nchi huwezi mzuia mtu kila mtu anasababu zake za kufanya hivyo.
 
Haitakuwa shida endapo hao CCM nao watakuwa vibaraka ni lazima watimke tu.
Huwezinkufuga fisi ndani ya zizi la mbuzi,
Htaka kama fifi huyo i wako ni bora afukuzwe tu, ukimuacah atauwa mbuzi wote.
Waoinzani ni wasariti sana
 
Mawazo mufulisi.

Mnajitengenezea kiki.

But wakiona nyie mmefeli kuwa vibaraka wao.
Wanaweza watafuta ndani ya CCM.
Endeleeni tu kulifunga hilo JOKA,likija kukosa chakula litawameza na ninyi bila shaka.
Ndipo mtakapokuwa na kilio na kusaga meno,asiwepo mtu wa kuwatetea.
 
Sina cha kuongeza zaidi ya kusema G'taxi umeandika maneno yangu yote[emoji7][emoji1241][emoji122]
Asomae na aelewe
 
Endeleeni tu kulifunga hilo JOKA,likija kukosa chakula litawameza na ninyi bila shaka.
Ndipo mtakapokuwa na kilio na kusaga meno,asiwepo mtu wa kuwatetea.
Sawa huo ni uoni wako.

Huyu raisi wetu ana nia njema na Tanzania!
 
Siku wapinzani wakiacha tabia yao ya kulialia na kujifariji ndo watachukua nchi.
Otherwise CCM itaendelea kutumia hizo weakness kujipatia Ushindi kila mwaka.
 
Haitakuwa shida endapo hao CCM nao watakuwa vibaraka ni lazima watimke tu.
Huwezinkufuga fisi ndani ya zizi la mbuzi,
Htaka kama fifi huyo i wako ni bora afukuzwe tu, ukimuacah atauwa mbuzi wote.
Waoinzani ni wasariti sana
Usaliti wa wapinzani ni upi?
 
Back
Top Bottom