Leo wazee wa kazi nimewaona Segerea na wako full combat na bunduki juu je kuna nn?

Father Nitaenda na sitakufa ushauri wako na vitisho vyako mwambie mmeo.

Mtaji wa kununua uoga nimeshafirisika zamani sana kipindi ukiwa bado hujaanza kuukatikia
We songambele tu ni wiki2 zimebaki na utaukalia kweli.
Usije waambia wazazi wako hatukukuonya.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…