Leo wazee wa kazi nimewaona Segerea na wako full combat na bunduki juu je kuna nn?

Leo wazee wa kazi nimewaona Segerea na wako full combat na bunduki juu je kuna nn?

Hao vijana unaowatuma nakuhakikishia hipo siku watakugeuka.
Nimewaonya, na mmepewa pia onyo nä mamlaka.
Si kwaajili ya kumtetea yoyote hapa.
Sina Chama wala chochote.
Mkianza hizo vurugu zenu, wahanga ni nani?
Wazazi na familia.
Mama yako aanze kukutunza wewe, mkeo ataondoka, je wanao?we umekaa zezeta tu kibasila mule.
Kisa nilikua naandamana,
Ni ushauri tu,muende salama nä tutaona Mama zenu wakilia hapahapa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tupo tayari kulifia Taifa letu , mzuka niliyonao nizaidi ya ule wa October 29
Hiyo D9 bora muende 10,mshatangaza hao mnao december yote.
Msilie tu,
wako maandalizi na sasa hawacheki na kima.
Tokeni muone, msije lalamikkupigia
 
Nimewaonya, na mmepewa pia onyo nä mamlaka.
Si kwaajili ya kumtetea yoyote hapa.
Sina Chama wala chochote.
Mkianza hizo vurugu zenu, wahanga ni nani?
Wazazi na familia.
Mama yako aanze kukutunza wewe, mkeo ataondoka, je wanao?we umekaa zezeta tu kibasila mule.
Kisa nilikua naandamana,
Ni ushauri tu,muende salama nä tutaona Mama zenu wakilia hapahapa.
Pumbavu unamuonya nani sheitwani wa kijani.

Nenda kamuonye bwana ako.
 
Njoo mwananyamala kisiwani.

Ukifika ulizia kwa mguu wa nondo.

Karibu sana nakusubiri.
Umehamia lini?
Kisiwani yenyewe huijui
Daladala camp,kwetu
Kuanzia mkwajuni,stereo,kwa Mama zakaria
Kwa kopa
Kaulize kwa Gerlad pale utajua hujui.
Uhuru peak muulize white hao hawana maswali utanitafuta badae.
 
Back
Top Bottom