Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Leo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi kwa Rais, kuna barabara piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais....
Amekuwa hana tofauti na chawa wa mama, kujikomba ili apate kitu fulani. Au ni sababu ya cheo cha Naibu Waziri Mkuu?