Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Ukitafuta kupendwa na Kila mtu utakufa Kwa pressure kama Jiwe,mama sio dhaifu wa hisia.Mama hapo moyo kwatuu..yaani anaona anapendwa hata mtangulizi wake hamfikii hata robo..maana kila afanyacho anataka kujipima mizani.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Hapo yupo nyumbani lakini anavuta 250,000 kwa siku, gari bure na kila kitu pamoja na wasaidizi wake, lakini Ummy anakwambia bima ya watoto ni hasaraLeo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi kwa Rais, kuna barabara piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais....
Amekuwa hana tofauti na chawa wa mama, kujikomba ili apate kitu fulani. Au ni sababu ya cheo cha Naibu Waziri Mkuu?
Hifo hifoUlitaka aseme piga makofi Kwa Mbowe au Lisu?
Kwani mtangulizi wake alikuwa anapendwa au alikuwa anaogopwa na kunyenyekewa kinafiki?Mama hapo moyo kwatuu..yaani anaona anapendwa hata mtangulizi wake hamfikii hata robo..maana kila afanyacho anataka kujipima mizani.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Kunywa sumu kama inakukeraLeo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi kwa Rais, kuna barabara piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais....
Amekuwa hana tofauti na chawa wa mama, kujikomba ili apate kitu fulani. Au ni sababu ya cheo cha Naibu Waziri Mkuu?
Jiweke wewe kwenye nafasi yake kabla hujakebehi wala kuongea maneno ya dharau.Leo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi kwa Rais, kuna barabara piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais....
Amekuwa hana tofauti na chawa wa mama, kujikomba ili apate kitu fulani. Au ni sababu ya cheo cha Naibu Waziri Mkuu?
Yes, 48 Laws of Power ya Robert Green imelala kichwani kwa huyo Mzee.Leo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi kwa Rais, kuna barabara piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais....
Amekuwa hana tofauti na chawa wa mama, kujikomba ili apate kitu fulani. Au ni sababu ya cheo cha Naibu Waziri Mkuu?
Huyu ndiye BIG CHAWA.Leo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi kwa Rais, kuna barabara piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais....
Amekuwa hana tofauti na chawa wa mama, kujikomba ili apate kitu fulani. Au ni sababu ya cheo cha Naibu Waziri Mkuu?
Kumpigia makofi mwizi ni sawa?Ulitaka aseme piga makofi Kwa Mbowe au Lisu?
Piga makofi 🤣Hapo yupo nyumbani lakini anavuta 250,000 kwa siku, gari bure na kila kitu pamoja na wasaidizi wake, lakini Ummy anakwambia bima ya watoto ni hasara