Leo Waziri Mkuu Majaliwa ni kusifia tu, kila mara utamsikia "Piga makofi mengi kwa Rais"!

Ndio wamesha geuzwa wajinga hivyo!hakuna namna.
 
Ila sielew kwann watawala hasa bongo hupenda san kusifiwa ilhali wafanyayo ni wajibu wao ndio maan wakapata kaz ya urais!! Hua sikubaliani kbs na sifa kupelekwa kwa kiongoz kisa ametimiza wajibu wake!! Na hili ndilo limefanya Marais wa Africa wajione miungu watu!!
 
Hakuna Moshi awamu hii, maana wamemuelewa mno walima mbaazi.
 
Ulitaka ashupaze shingo...Kuna muda tukubali kujishusha
 
Asisifie mchezo ,kutoka uzeeni hadi kuja ujanani
 

Attachments

  • IMG-20220610-WA0004.jpg
    15.7 KB · Views: 3
Haters hadi 2030 mtakuwa mnajisaidia njiani haki ya nani
 
Nipe sababu za msingi... Wapige makofi kwaajil gan?
Hilo mbona swali gumu sana, jiulize watu kuacha shughuli zao eti wanajipanga barabarani kumwangalia kiongozi anayepita mimi huwa sielewi au hata akisimama kidogo tu utaona watu tayari wamejaa,ukiwaliza unatafuta nini hakuna anayeweza kukupa jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…