Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Yanga tuna akili. Ule uwanja wa Mkapa tuliuenyea. Simba hawezi pata matokeo Chanya na baada ya kuunyea tukahamia Zanzibar.
Tulihamia Zanzibar sababu Uwanja wa Mkapa tumeuharibu. Haufai hata kwetu kwa matches za Kimataifa. Why? Una uchafu. Tulichofukia hatusemi ila nyie Mikia mtaona. Hamwendi popote mbwa koko nyie. Nipo hapa. Safari hii mnaishia kwenye Makundi tu.
Huo uwanja utakuwa mgumu kwenu kwa miaka mingi sababu nyie mlijifanya wajuaje. Na tunashukuru Serikali ya awamu ya 6 imekuwa nasi bega kwa bega.
safari hii Yanga tutafika mbali. Tuna kitu. Mikia mtabaki mnashangaa. Na Makombe yote yatakayokuja mbele yetu tutabeba.