Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Wala,yaliyopita nimekubali ilipaswa nipitie,mi naangalia la Leo na kesho bas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala,yaliyopita nimekubali ilipaswa nipitie,mi naangalia la Leo na kesho bas
Ya leo na kesho ndiyo yapi hayo...Wala,yaliyopita nimekubali ilipaswa nipitie,mi naangalia la Leo na kesho bas
Moyo,kuharibiana mipangoTunaumiza kitandani au tunaumiza wapi...
Kuendelea kuishi na kuitafuta furaha..kama alipanga uishi mwenza utampata tu Kwa wakati uliopangiwaYa leo na kesho ndiyo yapi hayo...
🤣🤣🙏🙌😂 Lazima alalame labda umliwaze sana!
Pole sana kwa kupigwa matukio...Moyo,kuharibiana mipango
Asante sana SPole sana kwa kupigwa matukio...
Embu tuone itakuaje...Nisije wekwa ndani tu Kwa nitakachomfanya🥵
Sawa 🤝Embu tuone itakuaje...
Karibu sana... Ila usije kuhamia mazima, sababu umesema ni kukutanisha vikojolea tu...Sawa 🤝
😋Nikinogewa itabidi unifikirie aisee...nitaumia tena mwenzioKaribu sana... Ila usije kuhamia mazima, sababu umesema ni kukutanisha vikojolea tu...
Ni kulamba asali tu, hakuna kuchonga mzinga, maana wakija kupopoa kwa mawe utaumia...😋Nikinogewa itabidi unifikirie aisee...nitaumia tena mwenzio
Ni kweli aisee,maana hapa naandika huku nikiangaza huku na kule maana najua wananiona wananionaaa😜Ni kulamba asali tu, hakuna kuchonga mzinga, maana wakija kupopoa kwa mawe utaumia...