Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Achana na za kushoto wala kulia, kaa kwenye mstari, ni vikojolea kwenda mbele...Ni kweli aisee,maana hapa naandika huku nikiangaza huku na kule maana najua wananiona wananionaaa😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na za kushoto wala kulia, kaa kwenye mstari, ni vikojolea kwenda mbele...Ni kweli aisee,maana hapa naandika huku nikiangaza huku na kule maana najua wananiona wananionaaa😜
Nimekupenda bure,na huo ndo mpango🤜Achana na za kushoto wala kulia, kaa kwenye mstari, ni vikojolea kwenda mbele...
Hakika na inapendeza sana, ahsante kwa kunitongoza...Nimekupenda bure,na huo ndo mpango🤜
You are welcome 🤝Hakika na inapendeza sana, ahsante kwa kunitongoza...
Dondokea huku, nidondoke huko, tudondokee hapa... Ni kuchakatana...You are welcome 🤝
Pilika pilika tu mpenzi wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah!!Sweetheart ulipotea sana
Hello dear,Naomba mdada yoyote anitongoze nijipime kama nina msimamo au vipi
[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Shida melo hajaeka option ya video call mbona pangekua padogo humu ndani😆😆ni mwendo wa kubadilisha night dress hii kwenda nyingine[emoji1][emoji1][emoji1] hilo ni zaidi! Fanya hivo Darlin.Mpigie video call mdau unayemzimia then ulale hivo na hiyo dress.Hilo ndo tongozo extraordinary sasa
Dug! Nimechelewa kuuona huu uzi!!! Vipi mzabzab kuna mtu ameniwahi kukutongoza?Hebu wadada wa humu tutongozeni ili tupime misimamo yetu. Shusheni vocal hizo nasisi tuanze kutafuna majani na kung'ata kucha! 🔥
Tutaelewana mi na yeyeEbu funguka rey!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]Sikuchezei bhana[emoji47]mi nakupenda kweli....sitokufanya ujutie...trust me plzz
Wala wee shusha mistari jamani na mie mzabzab nipate kufarijika na mashairi ya mlimbwendeDug! Nimechelewa kuuona huu uzi!!! Vipi mzabzab kuna mtu ameniwahi kukutongoza?
Mpenzi wangu wa siku nyingi nitongoze basi leo nijisikie mnene na nilieshiba😁😁😁Pilika pilika tu mpenzi wangu