Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Siku yako imeendaje lakini πŸ’• love.
Ilikua poa tu kabla hatujakutana,
Sina wasiwasi natembea kama sitaki na kila hatua ina nukta,
Kiuno cha nyigu rangi ya kizungu
Unashangaa maujuzi ya Mungu.
Sina chale wala shanga
Nina sifa zote za kuitwa mwandani, Tuchangie shuka, tuchangie majina,
Nishike mkono niende nawe dunia nzima,
Where u coming from , Yani hata sielewi, Sielewi😍😍😜😜😜
 
Lovelovie bado sijauelewa huo mtongozo hebu ongeza juhudi kidogo basi maana ushaniteka asilimia 25%
 
Aiseee we mwanamke mmh unakosha ujue 😚😝
 
Mi ningelainika walaih yaani kama tungekuwa live live ingekuwa kwishnei.

Maneno matamu sana yananyegesha hayo. πŸ˜‘πŸ˜‹πŸ˜‰
πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†Weeeh sema kweli😊😊😘😘😘
 
Nakuambia kweli nilikuwa nina mpango wa kupita kimya kimya bila ku quote ila huo mtongozo wako nimenyanyua mkono.

Unajua aseee Poker mkubalie binti wa watu bro unamtesa ki hisia ujue πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Ngoja anitumie audio azidi nibembeleza mrembo wangu wa kapripoint Mwanza.
 
Nakuambia kweli nilikuwa nina mpango wa kupita kimya kimya bila ku quote ila huo mtongozo wako nimenyanyua mkono.

Unajua aseee Poker mkubalie binti wa watu bro unamtesa ki hisia ujue πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akikuzingua nipe mimi hiyo chance mummy sawa eeh.

πŸ˜‰πŸ˜‰. I might be serious 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…