Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Ilikua poa tu kabla hatujakutana,Siku yako imeendaje lakini π love.
Sina wasiwasi natembea kama sitaki na kila hatua ina nukta,
Kiuno cha nyigu rangi ya kizungu
Unashangaa maujuzi ya Mungu.
Sina chale wala shanga
Nina sifa zote za kuitwa mwandani, Tuchangie shuka, tuchangie majina,
Nishike mkono niende nawe dunia nzima,
Where u coming from , Yani hata sielewi, Sielewiπππππ