Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Pm imetiwa kofuoi mkuu. Aiache hata hapa kwa sekunde mbili ni copy alafu aifute 🤣🤣.

Lovelovie nimependa sauti yako bibie nataka niisikie daily.

Ukiachia mbali zile audio
Kuwa mpole sasa usiende race ukaja angukia pua. Take it slow and easy. Huyu Lovelovie kwao ni kapripoint Mwanza sitaki nikutajie nyumba gani. Mzee wake anamiliki duka kubwa na maarufu la hardware hapo kirumba na ni mfanyabiashara wa madini. Alisomea shule ya loreto akafukuzwa akahamia victorian na penyewe akafukuzwa kisha kwenda kumalizia thaaqafa.
 
Heee Lovelovie ya kweli haya?

We ni mwanamke kibopa.

Anyway mi hio ni additional i just want to hear her voice daily hiyo ndo shida yangu
 
mama tamu utakuja lini nasikiliza audio zako hapa ujue. 😅😆😘😘
Screenshot_20230908-210436.png
 
Back
Top Bottom