Duuuh my honey mbona ananipa tafrani ππππ Hapana nataka aje anifanyie massage tu Mnara wa Tz maana nina uchovu wa kuendesha trekta.
Mim nmekua mfanya massageπ Hapana nataka aje anifanyie massage tu Mnara wa Tz maana nina uchovu wa kuendesha trekta.
Una mikono mi laini sana na hiyo ndio mizuri haikwangui π kwa maelezo ya Mnara wa Tz lakini.Mim nmekua mfanya massage
Mikono kama ya mtoto weeehππUna mikono mi laini sana na hiyo ndio mizuri haikwangui π kwa maelezo ya Mnara wa Tz lakini.
πππWeeeh kula upepo mwananaIt sounds refreshing sana. Nimekuambia nipo hapa Gold crest hotel kesho naondoka kwahyo hutaki kuja niona sio.
Gold crest nakumbuka nilikua nikienda zamani sana kipindi bado nipo kijana.It sounds refreshing sana. Nimekuambia nipo hapa Gold crest hotel kesho naondoka kwahyo hutaki kuja niona sio.
Ukumbi na mapambo ya nin mim nataka cake kama nyumba na zawadi basiUnajua bday yako iko njiani na nlitaka kabla sijaondoka mwanza nikuachie hata hela ya kukodi ukumbi, mapambo, keki na vinywaji.
ππππIla Poker kwa hyo unataka ya bei ndogo.Ni baraka za Mungu kukutana na wewe hilo la keki halina shida. Huwa zinauzwa shs ngapi? Usintajie ya bei kubwa kipenzi changu.
π Hii ni aibu sasa, kweli nikununulie usingizi wangu tulizo la moyo wangu keki ya 6000? Hapana angalau irange kwenye 200k-300k hapo naweza kupamudu. Zawadi nlikuambia chagua kati ya mafia, Zanzibar, serengeti, udzungwa au Mombasa. Utataka kwenda wapi.ππππIla Poker kwa hyo unataka ya bei ndogo.
Mim napenda black forest au red velvet, napenda zawadi lakin hua naridhika hata iwe ni zawadi ndogo.
Cake utaninunulia black forest vipande viwili tu elf 6 alfu zawadi ndio uninunuli mzawadi mkubwaaaaaπππ
Lovelovie mimi nitakupeleka monaco tukodishe meli yetuπ Hii ni aibu sasa, kweli nikununulie usingizi wangu tulizo la moyo wangu keki ya 6000? Hapana angalau irange kwenye 200k-300k hapo naweza kupamudu. Zawadi nlikuambia chagua kati ya mafia, Zanzibar, serengeti, udzungwa au Mombasa. Utataka kwenda wapi.
Me sitak cake kubwa cz sina pa kuipeleka hiyo inayobaki.π Hii ni aibu sasa, kweli nikununulie usingizi wangu tulizo la moyo wangu keki ya 6000? Hapana angalau irange kwenye 200k-300k hapo naweza kupamudu. Zawadi nlikuambia chagua kati ya mafia, Zanzibar, serengeti, udzungwa au Mombasa. Utataka kwenda wapi.
kabisaπUkaninyonye
Aaaaaah weeeeeeh shindwa vampireπππkabisaπ