Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Weeeh kula upepo mwanana
Unajua bday yako iko njiani na nlitaka kabla sijaondoka mwanza nikuachie hata hela ya kukodi ukumbi, mapambo, keki na vinywaji.
 
It sounds refreshing sana. Nimekuambia nipo hapa Gold crest hotel kesho naondoka kwahyo hutaki kuja niona sio.
Gold crest nakumbuka nilikua nikienda zamani sana kipindi bado nipo kijana.
 
Unajua bday yako iko njiani na nlitaka kabla sijaondoka mwanza nikuachie hata hela ya kukodi ukumbi, mapambo, keki na vinywaji.
Ukumbi na mapambo ya nin mim nataka cake kama nyumba na zawadi basi
 
Ni baraka za Mungu kukutana na wewe hilo la keki halina shida. Huwa zinauzwa shs ngapi? Usintajie ya bei kubwa kipenzi changu.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ila Poker kwa hyo unataka ya bei ndogo.
Mim napenda black forest au red velvet, napenda zawadi lakin hua naridhika hata iwe ni zawadi ndogo.
Cake utaninunulia black forest vipande viwili tu elf 6 kimoja alfu zawadi ndio uninunulie mzawadi mkubwaaaaa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ila Poker kwa hyo unataka ya bei ndogo.
Mim napenda black forest au red velvet, napenda zawadi lakin hua naridhika hata iwe ni zawadi ndogo.
Cake utaninunulia black forest vipande viwili tu elf 6 alfu zawadi ndio uninunuli mzawadi mkubwaaaaa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜‚ Hii ni aibu sasa, kweli nikununulie usingizi wangu tulizo la moyo wangu keki ya 6000? Hapana angalau irange kwenye 200k-300k hapo naweza kupamudu. Zawadi nlikuambia chagua kati ya mafia, Zanzibar, serengeti, udzungwa au Mombasa. Utataka kwenda wapi.
 
Lovelovie mimi nitakupeleka monaco tukodishe meli yetu
 
๐Ÿ˜‚ Hii ni aibu sasa, kweli nikununulie usingizi wangu tulizo la moyo wangu keki ya 6000? Hapana angalau irange kwenye 200k-300k hapo naweza kupamudu. Zawadi nlikuambia chagua kati ya mafia, Zanzibar, serengeti, udzungwa au Mombasa. Utataka kwenda wapi.
Me sitak cake kubwa cz sina pa kuipeleka hiyo inayobaki.
Huko zanzibar, serenget, udzungwa naenda kufanya nin wakati huo ndo mwezi mzuri wa kutulia.
 
Back
Top Bottom