Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enwei, ngoja nijaribu..!!
Kila nikiiona comment yako mahali hapa naishia kutabasamu, sababu zaidi ya yote huwa ninaona kujiamini kwako ndani yake, cha kushangaza ni kuwa mapigo ya moyo wangu hubadilika na kudunda kwa kasi nilionapo tu jina lako, hujikuta natabasamu na kucheka hata kwa vitu vidogo vitokavyo kwako na visivyo na maana kabisa,
Lengo hasa la kuyaandika yote haya ni kutaka kukueleza ni jinsi gani wautesa mtima wangu, ninahisi kuvutiwa na kila kitu kuhusu wewe, hata avatar isiyo yako halisi inanifanya niachie tabasamu mwanana,
Natamani niendelee kukuonesha ni namna gani nimebarikiwa kukutana na wewe mahala hapa, ila hapana muda si rafiki sana upande wetu, hivyo naomba tafadhali uubariki moyo wangu kwa kunikubalia niwe wako, niamini Mimi, kunikubali ni kati ya maamuzi machache hutokaa ujutie kuyafanya kamwe, ...... please be mine..!
(Huku nakutazama machoni kwa macho ya maqhaba, ukichomoa niite andazi niko nimekaa pale)
Mbona hata ww unaonekana fundi hah [emoji38] [emoji1787] [emoji23]. Hilo pozi la kulala kifudifudi halafu ana nightdress tu [emoji1] [emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]dada jaman
Naomba nikiwa mkubwa naomba niweze kuchana mistari kama wewe jaman
Sijui ulkua kwnye pose gan ulvyokua unaandika hili tongozo[emoji38].
Ndo muwe mnarahisisha sasa.Halafu mkijua mnapendwa ndo mnadenguaaaaaKutongoza ni kugumu nyie[emoji17]
Hii kazingumu nimeshashusha ila nimeshindwa kumalizia kumbe ndo kazi hiv looh 🤣🤣Shusha vocal hizo watu walegee!
Tangu umekuwa rafikiyangu,
Wewe ndiye sababu ya kuamka na tabasamu,mara nying nacheka hata wakati wengine wanatarajia nilie. Kwa sababu kuna kitu cha pekee juu ya upendo wako ambacho kinanifanya nijisikie furaha
unajaza kila sehemu ya maisha yangu Kila ninapoona ujumbewako hua nahis sikuyang imekamilika
mbna maneno yameisha Sasa😂😂😂😂
Siwez kumpiga mtu saundi sinahuo ujasiriUmejaribu aisee kwahyo saundi kuna mtu keshalegea huko.
Jamaniiii, nimekubali kuwa mpenzi wako ila naomba mama asijue plzzzz...!!!Enwei, ngoja nijaribu..!!
Kila nikiiona comment yako mahali hapa naishia kutabasamu, sababu zaidi ya yote huwa ninaona kujiamini kwako ndani yake, cha kushangaza ni kuwa mapigo ya moyo wangu hubadilika na kudunda kwa kasi nilionapo tu jina lako, hujikuta natabasamu na kucheka hata kwa vitu vidogo vitokavyo kwako na visivyo na maana kabisa,
Lengo hasa la kuyaandika yote haya ni kutaka kukueleza ni jinsi gani wautesa mtima wangu, ninahisi kuvutiwa na kila kitu kuhusu wewe, hata avatar isiyo yako halisi inanifanya niachie tabasamu mwanana,
Natamani niendelee kukuonesha ni namna gani nimebarikiwa kukutana na wewe mahala hapa, ila hapana muda si rafiki sana upande wetu, hivyo naomba tafadhali uubariki moyo wangu kwa kunikubalia niwe wako, niamini Mimi, kunikubali ni kati ya maamuzi machache hutokaa ujutie kuyafanya kamwe, ...... please be mine..!
(Huku nakutazama machoni kwa macho ya maqhaba, ukichomoa niite andazi niko nimekaa pale)
🤣🤣🤣😂Kuna kutuma na ya kutolea alafu kunamchongo nausikilizia Kwa sasa itakuwa ngumuHebu jaribu kwangu tena we nipige saundi 2 au 3 mi mbona cjui kukaza!
Hahahaha nimecheka sanaNaam, unataka kunitongoza ?
Mimi nimeshakukubalia.
SweetheartKama huna chura usinitongoze[emoji16][emoji16][emoji16]
This does bring a smile to my face.Naam, unataka kunitongoza ?
Mimi nimeshakukubalia.
Sawa nimekubali tena ungechelewa kidogo ningekupinga sound mwenyewe baby[emoji7]Enwei, ngoja nijaribu..!!
Kila nikiiona comment yako mahali hapa naishia kutabasamu, sababu zaidi ya yote huwa ninaona kujiamini kwako ndani yake, cha kushangaza ni kuwa mapigo ya moyo wangu hubadilika na kudunda kwa kasi nilionapo tu jina lako, hujikuta natabasamu na kucheka hata kwa vitu vidogo vitokavyo kwako na visivyo na maana kabisa,
Lengo hasa la kuyaandika yote haya ni kutaka kukueleza ni jinsi gani wautesa mtima wangu, ninahisi kuvutiwa na kila kitu kuhusu wewe, hata avatar isiyo yako halisi inanifanya niachie tabasamu mwanana,
Natamani niendelee kukuonesha ni namna gani nimebarikiwa kukutana na wewe mahala hapa, ila hapana muda si rafiki sana upande wetu, hivyo naomba tafadhali uubariki moyo wangu kwa kunikubalia niwe wako, niamini Mimi, kunikubali ni kati ya maamuzi machache hutokaa ujutie kuyafanya kamwe, ...... please be mine..!
(Huku nakutazama machoni kwa macho ya maqhaba, ukichomoa niite andazi niko nimekaa pale)
hahahahaha,wanakwepa gharama,wenyewe wanapenda kitongaIvi Inawezekana kabisa dada zetu hawajui kutongoza? Nimeanza kusoma mwanzo mwisho Hakuna mtongozo serious kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]