Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Enwei, ngoja nijaribu..!!

Kila nikiiona comment yako mahali hapa naishia kutabasamu, sababu zaidi ya yote huwa ninaona kujiamini kwako ndani yake, cha kushangaza ni kuwa mapigo ya moyo wangu hubadilika na kudunda kwa kasi nilionapo tu jina lako, hujikuta natabasamu na kucheka hata kwa vitu vidogo vitokavyo kwako na visivyo na maana kabisa,

Lengo hasa la kuyaandika yote haya ni kutaka kukueleza ni jinsi gani wautesa mtima wangu, ninahisi kuvutiwa na kila kitu kuhusu wewe, hata avatar isiyo yako halisi inanifanya niachie tabasamu mwanana,

Natamani niendelee kukuonesha ni namna gani nimebarikiwa kukutana na wewe mahala hapa, ila hapana muda si rafiki sana upande wetu, hivyo naomba tafadhali uubariki moyo wangu kwa kunikubalia niwe wako, niamini Mimi, kunikubali ni kati ya maamuzi machache hutokaa ujutie kuyafanya kamwe, ...... please be mine..!

(Huku nakutazama machoni kwa macho ya maqhaba, ukichomoa niite andazi niko nimekaa pale)

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]dada jaman
Naomba nikiwa mkubwa naomba niweze kuchana mistari kama wewe jaman
Sijui ulkua kwnye pose gan ulvyokua unaandika hili tongozo[emoji38].
 
Mbona hata ww unaonekana fundi hah [emoji38] [emoji1787] [emoji23]. Hilo pozi la kulala kifudifudi halafu ana nightdress tu [emoji1] [emoji3]
 
Me nasubiri mtongozo wa beautiful kelsea kwa hamu hapa,fanya uje nipige sound
 
Tangu umekuwa rafikiyangu,
Wewe ndiye sababu ya kuamka na tabasamu,mara nying nacheka hata wakati wengine wanatarajia nilie. Kwa sababu kuna kitu cha pekee juu ya upendo wako ambacho kinanifanya nijisikie furaha
unajaza kila sehemu ya maisha yangu Kila ninapoona ujumbewako hua nahis sikuyang imekamilika
mbna maneno yameisha Sasa😂😂😂😂
 
Hii kazingumu nimeshashusha ila nimeshindwa kumalizia kumbe ndo kazi hiv looh 🤣🤣
Hebu jaribu kwangu tena we nipige saundi 2 au 3 mi mbona cjui kukaza!
 
Umejaribu aisee kwahyo saundi kuna mtu keshalegea huko.
Tangu umekuwa rafikiyangu,
Wewe ndiye sababu ya kuamka na tabasamu,mara nying nacheka hata wakati wengine wanatarajia nilie. Kwa sababu kuna kitu cha pekee juu ya upendo wako ambacho kinanifanya nijisikie furaha
unajaza kila sehemu ya maisha yangu Kila ninapoona ujumbewako hua nahis sikuyang imekamilika
mbna maneno yameisha Sasa😂😂😂😂
 
Enwei, ngoja nijaribu..!!

Kila nikiiona comment yako mahali hapa naishia kutabasamu, sababu zaidi ya yote huwa ninaona kujiamini kwako ndani yake, cha kushangaza ni kuwa mapigo ya moyo wangu hubadilika na kudunda kwa kasi nilionapo tu jina lako, hujikuta natabasamu na kucheka hata kwa vitu vidogo vitokavyo kwako na visivyo na maana kabisa,

Lengo hasa la kuyaandika yote haya ni kutaka kukueleza ni jinsi gani wautesa mtima wangu, ninahisi kuvutiwa na kila kitu kuhusu wewe, hata avatar isiyo yako halisi inanifanya niachie tabasamu mwanana,

Natamani niendelee kukuonesha ni namna gani nimebarikiwa kukutana na wewe mahala hapa, ila hapana muda si rafiki sana upande wetu, hivyo naomba tafadhali uubariki moyo wangu kwa kunikubalia niwe wako, niamini Mimi, kunikubali ni kati ya maamuzi machache hutokaa ujutie kuyafanya kamwe, ...... please be mine..!

(Huku nakutazama machoni kwa macho ya maqhaba, ukichomoa niite andazi niko nimekaa pale)
Jamaniiii, nimekubali kuwa mpenzi wako ila naomba mama asijue plzzzz...!!!

#YNWA
 
Sawa nimekubali tena ungechelewa kidogo ningekupinga sound mwenyewe baby[emoji7]
 
Back
Top Bottom