Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He’s handsome ila sasa akili mtatumia zako au 🤣🤣Bado namuwaza yule tall, dark n handsome wa jana😂😂
Hiko ndio kinachoniumiza zaidi adi nimekosa usingizi leo usiku🤣🤣🤣He’s handsome ila sasa akili mtatumia zako au 🤣🤣
Au tutamtrain?
😂🤣🤣 anazingua sanaHiko ndio kinachoniumiza zaidi adi nimekosa usingizi leo usiku🤣🤣🤣
Nina wasi wasi kama anatrainika yule.
Em tumuwekee ❌ 😂 bora kutafuta tu mwingine
Yaani nitachekaa🤣🤣🤣😂🤣🤣 anazingua sana
Uhandsame wote ule sasa anakosaje akili?
Leo apewe mtihani mwingine tumpime 😄😄 tujilipue na 📱
Then akutane na makwesheni ya level za CPA tuchuje mbivu na mbichi
Tulia tuliaaa didiYaani nitachekaa🤣🤣🤣
Matumizi mabaya ya uhandsome hayo, me kashanikwaza.
Em badae mchana tumtest tumsikie
Nakuaminia didi akeeeeeeTulia tuliaaa didi
Mie tena? Majibu tunayo kabla ya mchana
😋Aisee nimejikuta nataka unitongoze baada ya kusoma post yako[emoji7]
Tunaweza kuwatongoza[emoji38][emoji38][emoji38]Kutongoza tu wanashindwa lakini utasikia wakijigamba "wanawake tunaweza!"
Mnaweza nini?
Sure why not, ngoja nije unipe mtongozo 😀😃Hello dear,
Mwenzio nimevutiwa na uandishi wako
Can you come close????
Vipi maumivu yake? ni zaidi ya yale ya kugeggedwa na kuachwa solemba?Kutongoza si tatizo, tatizo ni pale ukipewa cha mbavu. Wanawake hatuna moyo wa kuvumilia hiyo kitu
Yote siyajuiVipi maumivu yake? ni zaidi ya yale ya kugeggedwa na kuachwa solemba?
[emoji1787][emoji1787]Hata mdada anitongoze na kunisumbua vipi simpi namba zangu mie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji118][emoji118]Vile wanawake wanatutongoza leo[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2293356
Aaah huyu atakua "MKINGA" anataka aniue na mmUshatongozwa tayari 🤣