Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Hiko ndio kinachoniumiza zaidi adi nimekosa usingizi leo usiku🤣🤣🤣

Nina wasi wasi kama anatrainika yule.
Em tumuwekee ❌ 😂 bora kutafuta tu mwingine
😂🤣🤣 anazingua sana
Uhandsame wote ule sasa anakosaje akili?

Leo apewe mtihani mwingine tumpime 😄😄 tujilipue na 📱

Then akutane na makwesheni ya level za CPA tuchuje mbivu na mbichi
 
😂🤣🤣 anazingua sana
Uhandsame wote ule sasa anakosaje akili?

Leo apewe mtihani mwingine tumpime 😄😄 tujilipue na 📱

Then akutane na makwesheni ya level za CPA tuchuje mbivu na mbichi
Yaani nitachekaa🤣🤣🤣
Matumizi mabaya ya uhandsome hayo, me kashanikwaza.

Em badae mchana tumtest tumsikie
 
Back
Top Bottom