Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Maisha yanaenda kasi sana yaani mimi nitongozwe na mdada nikatae labda nilogwe[emoji23]
 
Hebu wadada wa humu tutongozeni ili tupime misimamo yetu. Shusheni vocal hizo nasisi tuanze kutafuna majani na kung'ata kucha! 🔥
Mtoa post ni kama nakufahamu vile?!.
Kesho pitia ofisi za BEFORWARD Tanzania zilizoko mitaa ya Posta, kuna Toyota Fortuner yako (new model) nimekuagizia kutoka Japan. Nenda ukachague rangi uipendayo man. Ikilazimu kuongeza hela watanijulisha. Usisahau kuni-text mchana ukiwa free ili nikusindikize barber shop.
Love you bby🥰
 
😳 Mkuu we si kidume. Hapana sitaki usinitongoze.
 
Back
Top Bottom