Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mi namtongoza best mmoja mshamba_hachekwi babe uko wapu njoo kwa huku nikupe mistari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chaiMi namtongoza best mmoja mshamba_hachekwi babe uko wapu njoo kwa huku nikupe mistari
Babe nilivutiwa na wewe kule kiteto pale ulipokuwa umesimama na mbuzi😂😂🤣 kifua chako kinene kizuri kinapendeza sana . Navile ulivyoachia shati kwa wazi.chai
sawa,Babe nilivutiwa na wewe kule kiteto pale ulipokuwa umesimama na mbuzi😂😂🤣 kifua chako kinene kizuri kinapendeza sana . Navile ulivyoachia shati kwa wazi.
Sura yako inanivutia sana hadi nikikumbuka nazama kwenye dimbwi la mapenzii .
Heeh hata hureply kwanza nahmisha makao naenda kwa National Anthemsawa,
nipe mbussu nichakate
hutaki utamu?Heeh hata hureply kwanza nahmisha makao naenda kwa National Anthem
🤗🤗🤗🤗 waoooo......Heeh hata hureply kwanza nahmisha makao naenda kwa National Anthem
nimefika nimefikaaa.. 🤗🤗🤗🤗🤗😘Babe njoo National Anthem nikuambie kitu
Babe mambo twende zetu kiteto😘😍 tukatwange rahanimefika nimefikaaa.. 🤗🤗🤗🤗🤗😘
hapo umenena sasaaa malkia wangu 🤗🤗🤗... nakujia sasa hivi..Babe mambo twende zetu kiteto😘😍 tukatwange raha
Piga kelele kwa anne wake, weuweeeee!!!My love for you will neither decline nor fall apart.
You're the best throughout the time..
Through ups and down,through sad moment and happy moments my love for you is the same.
Stay strong&know that you're loved just as I used to be before.
.......
To whom it may concern (Anajijua)
Nimejaribu [emoji1787][emoji23]
Mie ndo nashangaa hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe watu mnatongozana na hamsem
UnanitakaaaaMtoto wa mwanamke mwenzangu,handsomeboy wa ukoo huna baya wala hujui kununa njoo huku nakwita nimechoka kukuzoom kwenye glass
Mie ndo nashangaa hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibane bane,mwisho kiliwe na nyenyereMie ndo nashangaa hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupange Safari yetu basihapo umenena sasaaa malkia wangu 🤗🤗🤗... nakujia sasa hivi..
🤗🤗🤗 nikuletee zawadi kwanzaaa.. babyTupange Safari yetu basi