Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Hiyo kawaida kwa kila mwanamke.Ya kuimba na ya michezo yetu ile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kawaida kwa kila mwanamke.Ya kuimba na ya michezo yetu ile.
Kimapenzi hapana manKwani hunitaki 🙂🙂.
LoLAnalalama tu kuwa hanywi maji yakapita anawaza utampatia faraja kiasi gani. Anasema penzi ni kikohozi hakifichiki anataka akinuna umbembeleze na yeye akupikie unene na kunawiri.
Duuh 😭. Kirafiki 🧑🧑 je?Kimapenzi hapana man
Eeeh hapo sawa😁😁Duuh 😭. Kirafiki 🧑🧑 je?
Si umesema unapenda mwanaume atakaye kudekeza? Haya sasa umependwa na utaona raha zake. We hata ukiweka mapozi, Mnara wa Tz kapitia jando na atakujali na kukupenda sana.
😂😂😂Poker poker wewe kaka wewe 🙌🙌Si umesema unapenda mwanaume atakaye kudekeza? Haya sasa umependwa na utaona raha zake. We hata ukiweka mapozi, Mnara wa Tz kapitia jando na atakujali na kukupenda sana.
Marafiki hawakissMmh hata kuni kiss hutaki 🤧🤧🤧
SawaHaya bana 🫨🤥🤥🤥😒😒😒
Usiufanye moyo wako kuwa mgumu kwake, wakati yeye anataka penzi lenu liwe wazi na sio la kificho. Elewa anakuhitaji sana uwe faraja ya maisha yake, sura yako iwe dawa kwake na inshallah baadae ukawajue nduguze nao wakujue, akuvishe pete uwe wake wa kufa na kuzikana. Ni bahati kupata mthamini kama yeye.😂😂😂Poker poker wewe kaka wewe 🙌🙌
Ila we poker wewe🥴🥴🥴🥴Usiufanye moyo wako kuwa mgumu kwake, wakati yeye anataka penzi lenu liwe wazi na sio la kificho. Elewa anakuhitaji sana uwe faraja ya maisha yake, sura yako iwe dawa kwake na inshallah baadae ukawajue nduguze nao wakujue, akuvishe pete uwe wake wa kufa na kuzikana. Ni bahati kupata mthamini kama yeye.
Unajua raha zako ndio zake na huzuni zako ni zake. Roho yake inauma sana kila akifikiria kukukosa. Faraja na amani ya moyo wake vipo kwako. Hebu umulike moyo wake utaona kabisa yupo serious anakuhitaji katika maisha yake.Ila we poker wewe🥴🥴🥴🥴
🙆🙆🙆🙆Umenishinda tabia wewe kijanaUnajua raha zako ndio zake na huzuni zako ni zake. Roho yake inauma sana kila akifikiria kukukosa. Faraja na amani ya moyo wake vipo kwako. Hebu umulike moyo wake utaona kabisa yupo serious anakuhitaji katika maisha yake.
babe nazima taa tulale bana....🙆🙆🙆🙆Umenishinda tabia wewe kijana
Lovelovie usiufanye moyo wake uwe mwiba akashindwa kuhema kwa kuzidiwa na penzi lako. Usiku anashindwa kulala ni mtu wa sonona tu, baridi na joto vyote vyake. Mpe walau hata nusu saa upate kumjua naamini hutojutia katika maisha yako y
😁😁😁Sawa tulale basibabe nazima taa tulale bana....
Fujo za nin.Nakuja pm huko kuendeleza fujo, mpaka kieleweke.