Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Acha basi aseee hapo sawa we mama tamu usije ukachezea hisia zangu sawa eeh. 🤗🤗🤗
Analalama tu kuwa hanywi maji yakapita anawaza utampatia faraja kiasi gani. Anasema penzi ni kikohozi hakifichiki anataka akinuna umbembeleze na yeye akupikie unenepe na kunawiri.
 
😂😂😂Poker poker wewe kaka wewe 🙌🙌
Usiufanye moyo wako kuwa mgumu kwake, wakati yeye anataka penzi lenu liwe wazi na sio la kificho. Elewa anakuhitaji sana uwe faraja ya maisha yake, sura yako iwe dawa kwake na inshallah baadae ukawajue nduguze nao wakujue, akuvishe pete uwe wake wa kufa na kuzikana. Ni bahati kupata mthamini kama yeye.
 
Ila we poker wewe🥴🥴🥴🥴
 
Ila we poker wewe🥴🥴🥴🥴
Unajua raha zako ndio zake na huzuni zako ni zake. Roho yake inauma sana kila akifikiria kukukosa. Faraja na amani ya moyo wake vipo kwako. Hebu umulike moyo wake utaona kabisa yupo serious anakuhitaji katika maisha yake.
 
🙆🙆🙆🙆Umenishinda tabia wewe kijana
 
Lovelovie usiufanye moyo wake uwe mwiba akashindwa kuhema kwa kuzidiwa na penzi lako. Usiku anashindwa kulala ni mtu wa sonona tu, baridi na joto vyote vyake. Mpe walau hata nusu saa upate kumjua naamini hutojutia katika maisha yako yote.
 
Unajua sana kutunga stry wewe ntakupa tuzo😂😂
Lovelovie usiufanye moyo wake uwe mwiba akashindwa kuhema kwa kuzidiwa na penzi lako. Usiku anashindwa kulala ni mtu wa sonona tu, baridi na joto vyote vyake. Mpe walau hata nusu saa upate kumjua naamini hutojutia katika maisha yako y
 
Back
Top Bottom