babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
duh hizi ndio ngumi enzi zak sasa sio kina maviwiza wananunua mechi kila siku wanadai kushinda https://jamii.app/JFUserGuide it siangalii ngumi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kwa taarifa
Hahahahaha hii story alinipa mzee wangu.Huyu mzee anavi-story vya kwenye kahawa kibao.Kuna moja ya Pele kumfunga kipa aliyeshindikana, tuliambiwa Pele alilegeza kiatu akapiga mpira kiatu pia kikaenda, golikipa akafata kiatu. Kuja kushtuka ndo kufata mpira upande wa pili ila alichelewa kidogo.
Hiyo kidogo ina mambo ya kishirikina unaweza kuaminiHaha propaganda... hiyo conclusion hiyooo..
Kuna moja hiyo Baba wa Taifa alisahau kile kifimbo chake juu ya meza. Watu kibao wakijaribu kukibeba ila walishindwa. Njemba zilizoshiba haswa zilikivuta kuki-iba ila zikafeli. Mwalimu akarudi kukichukua..ile amefika mezani tu pale akanyoosha mkono na kifimbo kikamrukia mkononi akakitia kwapani akasepa zake.. hahaha dah noma sana.
jamaa kila wakimsubiri aumwe ili wamkate huo mshipa wa nguvu lkn akawa haumwi na pambano linakaribia, ikabidi uongozi wa Ali waombe jamaa afungwe mnyororo mkono wa kushoto.Kuna story za kitoto mida ya miaka ya nyuma huyo mwamba alikuwa na nguvu mpaka Mohamed Ali aliomba afungwe mkono wa kushoto.
Nilisikia alifungwa mkono wa kushoto, alivyo fungua alivunja nondo ya ring.
Kuna ukweli hapa?
View attachment 1556223
Na ile ya Raisi wa Cuba alikua ana silaha mpk kifungo cha shati ni kweli auWazee wa Zamani waongo sana, Utasikia kina Gibson Sembuli walikuwa wakichana nyavu, Nyavu zenyewe za katani sijui zimeoza hazina ubora.Eti Kuna mchezaji gani sijui Alikuwa anapiga Kona halafu anaiwahi mwenyewe anakuja kufunga kumbe unaweza kukuta alipiga kona akawahi sekeseke golini akafunga, kingine eti Golikipa Omary Salehe Ombopa alikuwa ana uwezo wa kugeuka hewani, eti anaruka kulia akiwa hewani anajigeuza anarudi upande wa pili.
Hizi story hata mie nilizisikia enzi hizo. Kuna mbongo mmoja Charles Mhilu alikua anatumia AKA ya huyu mwambaKuna story za kitoto mida ya miaka ya nyuma huyo mwamba alikuwa na nguvu mpaka Mohamed Ali aliomba afungwe mkono wa kushoto.
Nilisikia alifungwa mkono wa kushoto, alivyo fungua alivunja nondo ya ring.
Kuna ukweli hapa?
View attachment 1556223
Ni baada ya kuzidiwa na Mohamed Ally ndipo mke wake akapiga kelele na kumwambia Spings ma left, ndipo ilimtoka ngumi moja matata sana Mohamed akaikwepa ikapiga chuma na kikapinda.jamaa kila wakimsubiri aumwe ili wamkate huo mshipa wa nguvu lkn akawa haumwi na pambano linakaribia, ikabidi uongozi wa Ali waombe jamaa afungwe mnyororo mkono wa kushoto.
ila jamaa alilusha konde kwa mkono huo wa kushoto na akaukata mnyororo ila bahati nzuri Ally aliwahi kukwepa akabonyea kwa chini na jamaa akapiga zile nondo za pembeni na akaipinda hapohpo, Ali baada ya kuona hivyo akaamua anyooshe mikono juu na jamaa akatangazwa ubingwa.
ndio pambano la kwanza liliisha ivyo... nyie madogo wa tisini amtakiwi kubisha coz kwenu kulikuw hkn TV
Hahahaha kama story za baba wa taifa na Mzee kawawa ? Nazo ushazisikia?Haha propaganda... hiyo conclusion hiyooo..
Kuna moja hiyo Baba wa Taifa alisahau kile kifimbo chake juu ya meza. Watu kibao wakijaribu kukibeba ila walishindwa. Njemba zilizoshiba haswa zilikivuta kuki-iba ila zikafeli. Mwalimu akarudi kukichukua..ile amefika mezani tu pale akanyoosha mkono na kifimbo kikamrukia mkononi akakitia kwapani akasepa zake.. hahaha dah noma sana.
HahahahaHahahahaha hii story alinipa mzee wangu.Huyu mzee anavi-story vya kwenye kahawa kibao.
Aanze kukupa story za George Masatu,utasema huyu mwamba kwa kiwango chake ulaya walimbania tu.
Hapo hujaja kwenye stori za pambano la Rumble in the jungle.Utasema yeye ndo alikua refa wa pambano.
Yani story zake zoote utafikiri yeye ndo alikuwa mratibu wa mambo....
Dahjamaa kila wakimsubiri aumwe ili wamkate huo mshipa wa nguvu lkn akawa haumwi na pambano linakaribia, ikabidi uongozi wa Ali waombe jamaa afungwe mnyororo mkono wa kushoto.
ila jamaa alilusha konde kwa mkono huo wa kushoto na akaukata mnyororo ila bahati nzuri Ally aliwahi kukwepa akabonyea kwa chini na jamaa akapiga zile nondo za pembeni na akaipinda hapohpo, Ali baada ya kuona hivyo akaamua anyooshe mikono juu na jamaa akatangazwa ubingwa.
ndio pambano la kwanza liliisha ivyo... nyie madogo wa tisini amtakiwi kubisha coz kwenu kulikuw hkn TV
Hahahaha, si wanadai alishtukiwa auNa ile ya Raisi wa Cuba alikua ana silaha mpk kifungo cha shati ni kweli au
Hahahaha, ndio ndio we sasa umepatia mule mule , spings ma left ,hahahaha ,dah wabongo nomaNi baada ya kuzidiwa na Mohamed Ally ndipo mke wake akapiga kelele na kumwambia Spings ma left, ndipo ilimtoka ngumi moja matata sana Mohamed akaikwepa ikapiga chuma na kikapinda.
Tena walikuwa waongo kupitiliza,,
Wazee wa Zamani walikuwa waongo sana sijui kwanini, au kwa vile zamani ilikuwa ukidanganya ni ngumu MTU kutafuta ukweli ni UPI?No google, no you tube , TV changamoto, intaneti hakuna.Angalia pambano hilo
kumbe na wewe unaipata mkuuNi baada ya kuzidiwa na Mohamed Ally ndipo mke wake akapiga kelele na kumwambia Spings ma left, ndipo ilimtoka ngumi moja matata sana Mohamed akaikwepa ikapiga chuma na kikapinda.
Hahahaha, au alikua wa kwanza darasaniTena walikuwa waongo kupitiliza,,
Halafu hakuna Mzee aliyekuwa fala,,ktk story zao,, utasikia Mzee akitamba mbele za watu.
,, enzi zangu mm nilikuwa noma Sana,,ukinichezea sikukopeshi ni ngumi tu,,
Mara nilikuwa Kiwembe kwa wanawake hatari,,
kumbe alikuwa domo zege,,ulimi super glue,,
Lakini siku ukibahatika kukutana na Mzee mwenzie atakwambiya ,,
Hakuna mtu aliyekuwa bwege kama babu yako wakati wa ujana wetu..
Huwa nacheka sana..
Yaa ,ni hivyo tu mkuu.Hahahaha, au alikua wa kwanza darasani
Halafu walikuwa na ile story ya Bob Marley alikuwa anapika mihogo ,,,Wahenga kwa uongo
Hahahaha kama story za baba wa taifa na Mzee kawawa ? Nazo ushazisikia?