Kamba nyingi atakwambia alikuwa fullback 2 hupiti ukimwambia akupangie lineup yao ataanza golie alikuwa marehemu mzee juma fullback 3 marehemu martini half back 4 marehemu njunju na mkoba almarhumu mzee kibwana half back 6 marehemu mshume (mcharazo )winga marehemu masumbuko huku kiungo cha juu almarhumu matonsa yaani timu nzima wamefariki kabaki yeye sasa sijui utamuuliza nani kupata ukweli.