Leona lewis Anaupasua pasua Moyo Wangu Vipande Vipande

Leona lewis Anaupasua pasua Moyo Wangu Vipande Vipande

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
45,678
Reaction score
63,304
sauti ya huyu mwanadada 'huwa inanifanya nijihisi daudi mbele ya goliath' namaanisha pindi nimsikiapo akiwa anaimba nasahau shida zote 'ghafla nijihisi nipo ndani ya pepo...

Moyo unafarijika najikuta naikumbatia Faraja' 'ghafla mwili wote unaanza kuchipua vipele vya msisimko(goosebumps) '' binafsi napenda sana mziki kama Music ungekuwa ni dini bila shaka ningekuwa mlokole wa dini hiyo (wapenda mziki mzuri) watakubaliana namimi kwamba leona lewis anaimba sana yuko next level

Nastaajabu sijui kwanini siku hizi amekuwa kimya sana ukimya wake unapelekea kutunyima utamu wa burudani sisi mashabiki zake ambao huwa tunafarijika pindi tunapoisikia sauti yake....

Mtu anaimba kama mzimu bwana.. Melody kali mpangilio mzuri wa sauti '' anapiga harmonise za kiwango cha juu sana... Kwakwel huyu mwana dada ni gifted

Enjoy mziki mzuri View attachment leona_lewis_better_in_time_h264_1104.mp4
 
She is pretty also....

Ila weka na kapixha basi.
 
Hahaha sawa mkuu asante kwa masahihisho ... leona lewis ni huyu hapa ..
Mpwa we ni mtu mzito sana humu jukwaani!
huu Uzi bila picha wajumbe hatuelewi kabisa
images(42).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama vipi MPE misitari ili awe anakuimbia kitandani. Otherwise utabaki kula kwa macho kupata utapia mlo wa kimahaba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kula kwa macho pia ni tiba ya ubongo ' ndio maana huwa tuna shauriwa kwenda kwenye vivutio mbali mbali ili kuchangamsha akili " kwa kutazama mazingira mapya yenye kuvutia ambayo ni mageni katika mboni zetu "

Kwa hayo usijali sana kuhusu mimi kula kwa Macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
She is pretty also....

Ila weka na kapixha basi.
Mkuu " nili upload nyimbo yake pale " ili muweze kumuona nakumsikia vyema akiwa anai-rindimisha sauti yake ya kumtoa nyoka pangoni vizuri

Hebu kwanza isikilize/itazame ile nyimbo kisha uje na suggestions zako hapa

Picha yake Huyu mnyange ni hii hapa
images(40).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23]
nimemuona Mkuu hebu nipakue nyimbo zake maana namimi ni mdau sana wa nyimbo za taratibu!
 
Back
Top Bottom