hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
sauti ya huyu mwanadada 'huwa inanifanya nijihisi daudi mbele ya goliath' namaanisha pindi nimsikiapo akiwa anaimba nasahau shida zote 'ghafla nijihisi nipo ndani ya pepo...
Moyo unafarijika najikuta naikumbatia Faraja' 'ghafla mwili wote unaanza kuchipua vipele vya msisimko(goosebumps) '' binafsi napenda sana mziki kama Music ungekuwa ni dini bila shaka ningekuwa mlokole wa dini hiyo (wapenda mziki mzuri) watakubaliana namimi kwamba leona lewis anaimba sana yuko next level
Nastaajabu sijui kwanini siku hizi amekuwa kimya sana ukimya wake unapelekea kutunyima utamu wa burudani sisi mashabiki zake ambao huwa tunafarijika pindi tunapoisikia sauti yake....
Mtu anaimba kama mzimu bwana.. Melody kali mpangilio mzuri wa sauti '' anapiga harmonise za kiwango cha juu sana... Kwakwel huyu mwana dada ni gifted
Enjoy mziki mzuri View attachment leona_lewis_better_in_time_h264_1104.mp4