Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hiyo million ni mengineyo. Emergiences n.khiyo million moja iliyobaki umeiweka wapi?maana Kama anatumia milioni moja kuwalisha, na million moja nyingine kwa huduma za maji nk. Basi faida ni million 7 badala ya 6. I stand to be corrected