Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

Nimesoma comments zote humu. Hazina solution yoyote Kwa walemavu zaid ya ujinga mtupu.

Kilichotokea kimesababishwa na system failure, hatujawahi kuwa na strategy ya kusaidia walemavu kumbuka Makamba vs Matonya struggle.

Naona sentiments tuu semeni what should be done na muwe mbele kufanya. Pumbavu hakuna.

That was a lesser evil kwa hao omba omba period na kina msaada kuliko midomo hii humu.

Mitano tena.
 
Nakuona MSUKUMA unarudisha hasira za kuuziwa sabuni ubungo badala ya simu.Pole bongo bahati mbaya
Wewe mchaga ukiacha wizi na ujambazi una kipi cha kujivunia mkuu, siku zote hakuna pesa tamu kama ile uliyoitafuta kwa jasho. Nyie na show off zenu huko vijijini mnaenda kwa jeuri ya utapeli na dhuluma siku zenu zina hesabika.
 
Nimesoma comments zote humu. Hazina solution yoyote Kwa walemavu zaid ya ujinga mtupu.
Kilichotokea kimesababishwa na system failure, hatujawahi kuwa na strategy ya kusaidia walemavu kumbuka Makamba vs Matonya struggle.
Naona sentiments tuu semeni what should be done na muwe mbele kufanya. Pumbavu hakuna.
That was a lesser evil kwa hao omba omba period na kina msaada kuliko midomo hii humu.
Mitano tena.
Ndugu wajitoe kumsaidia..walemavu..Hawa walemavu hakushuka tu toka mbinguni...wanafamilia zao..

Watu we makanisa na masikiti na Watu wema wasio Amini Dini...wajitoe kuwasaidie wale ambao familia hazina uwezo.

Lakini familia zikishikamana wanaweza wasaidia watu wao..wasiwaone Kama mikosi na nuksi katika jamii
 
30 x 10000tsh = 300000tsh kwa siku, Duh kweli mjini mipango
Kwa mwezi ana 9,000,000.Hata Dr Mhimbili hana mshahara huo. Mchaga kakamata fursa. Na hapo ikute anatumia million moja tu kwa mwezi kuwalisha wote. Million labda umeme,maji. Faida million 6 kibindoni. Kwa Bongo mbona kaula kabisa.
 
Ndugu wajitoe kumsaidia..walemavu..Hawa walemavu hakushuka tu toka mbinguni...wanafamilia zao..

Watu we makanisa na masikiti na Watu wema wasio Amini Dini...wajitoe kuwasaidie wale ambao familia hazina uwezo.

Lakini familia zikishikamana wanaweza wasaidia watu wao..wasiwaone Kama mikosi na nuksi katika jamii
Ujerumani,walemavu wanalipwa allowance kila mwezi.Na Si Ujerumani tu nchi nyingi sana huko mbele walemavu wanalipwa kila mwezi .Tanzania ni donner Country,kwa nini isiwasaidie walemavu wake ?
 
Haya maneno yapo miaka yote hapa Tanzania hakuna kilichofanyika.
Hakuna National strategy Kwa walemavu hakuna.
Walichokua wanafanyishwa ni kibaya sawa lakini ni afadhali kuliko walivyotelekezwa na jamii na serikali.
Maoni yangu
Hao wanaodaiwa kuwatumikisha wasajiliwe na kusimamiwa waendelee na kazi zao.
Jamii ihamasishwe kusaidia walemavu hasa wanaowazunguka.
 
[QU OTE="Davan, post: 37758912, member: 599633"]Mwananyamala kuna sehemu watu wanapigana miti maarufu kwa wahaya then mbele ya hivyo vyumba watu wanapita kwenda msikitini na maeneo mengine hakuna mwenye muda na mambo ya mwengine[/QUOTE]

Ahsante Kwa taarifa, utaona matokeo ya taarifa yako, kutasafishwa hapo na utasahau kama kulikuwa Na biashara ya ngono
 
Daah JF kila siku inapoteza ubora wake kwa watu kama nyinyi,huoni alichokifanya hakina tofauti na "human trafficking",ambapo kila UN wanalipigia kelele.Eti huu nao unaitwa ubunifu duu.
Wewe ndio umefikia kikomo cha kufikiri, bunduki inaua, kwetu ukitengeneza ni crime kwa wenzetu ni ubunifu, wewe umengalia upande mmoja na kutoa hukumu, mimi nimengalia pande zote na kutoa maoni kwa upande ambao wengi hawawezi kuuona.
 
Kwa hiyo kwako wewe "human trafficking" ni ubunifu.?
 
Nimeona wengi ni ma mangi wamebuni ujasiliamali mpya.Hata Kama ni kusaka utajiri lkn sio kwa biashara hio ya utumwa.
Hapo wapewe kesi ya slavery na human trafficking.Kesi ya biashara ya utumwa na usafirishaji watu Ili kuikomesha biashara hio.Hio crime against humanity kudhulumu haki za walemavu
 
Zembwela long time alikuwa anaongelea ili swala kwamba wale wanaoomba omba ni biashara ya mtu ,yule anayesukuma utamkuta mtu "MBAVU NENE" ambaye anaweza akafanya kazi na kumtunza huyo MLEMAVU lakini iweje awe anamsukuma tu!!
Sijuwi kaishia wapi zembwela?! Ana madini sana yule mkuu..
 
Ombaomba na ukahaba ndizo biashara zinazoingiza pesa nyingi Sana kwa siku.
Ni biashara zenye uhakika wa kupata.Hakuna ombaomba anaelala njaa.Ni matajiri kuliko hata sio tutoao.
Pana mmoja yupo airport asubui anaomba jion yuko bar anazungusha round yaani wwe unajinyima unampa ye hakosi bia daily bar.
 
Ujerumani,walemavu wanalipwa allowance kila mwezi.Na Si Ujerumani tu nchi nyingi sana huko mbele walemavu wanalipwa kila mwezi .Tanzania ni donner Country,kwa nini isiwasaidie walemavu wake ?
Ulemavu wa viungo sio ulemavu wa akili.
Wanaweza wakazalisha pia vilevile sema utumia ulemavu wao Kama sehemu ya ujasiliamali wa kuomba sababu kuomba kuna uhakika wa kipato na utumii nguvu we tafuta kivuli tu weka bakuli nyoosha mkono utapata tu.
 
Sijuwi kaishia wapi zembwela?! Ana madini sana yule mkuu..

Kipindi kile nilikuwa naona kama utani aisee kumbe hii biashara ipo long time sana,Zembwela yupo USAFINI na Kina KITENGE pamoja na CHARLES WILLIAM.
 
Ujerumani,walemavu wanalipwa allowance kila mwezi.Na Si Ujerumani tu nchi nyingi sana huko mbele walemavu wanalipwa kila mwezi .Tanzania ni donner Country,kwa nini isiwasaidie walemavu wake ?
Ndio maana mimi ni mgumu sana kumpa hela omba omba
 
Kwa mwezi ana 9,000,000.Hata Dr Mhimbili hana mshahara huo. Mchaga kakamata fursa. Na hapo ikute anatumia million moja tu kwa mwezi kuwalisha wote. Million labda umeme,maji. Faida million 6 kibindoni. Kwa Bongo mbona kaula kabisa.
hiyo million moja iliyobaki umeiweka wapi?maana Kama anatumia milioni moja kuwalisha, na million moja nyingine kwa huduma za maji nk. Basi faida ni million 7 badala ya 6. I stand to be corrected
 
Ujerumani,walemavu wanalipwa allowance kila mwezi.Na Si Ujerumani tu nchi nyingi sana huko mbele walemavu wanalipwa kila mwezi .Tanzania ni donner Country,kwa nini isiwasaidie walemavu wake ?
Hakuna siku kiongozi wa nchii amesema Tanzania ni donor country, isipokuwa tumeliwa sana ilitakiwa tuwe donor country.
 
Sometimes baadhi ya wachaga walio wengi hawana utu na ni wajinga sana.
daah tena afadhali vijana, ukikutana na walienda age kidogo ni hatari, kwanza kupenda kujua mambo ya watu, roho mbaya na majungu kwa wengine,
 
Back
Top Bottom