- Thread starter
- #161
Nakwambia mkuu wananchi wa DSM kila mtu yuko busy na mambo yake. Huyo lazima alikuwa anakula na viongozi wa serikali ya mtaa
Nimeshangaa sana Na kubaki mdomo wazi;
1. Watanzania tunaroho za kikatili hadi tunafikia kuwatumikisha walemavu?!!
2. Serikali ZA mitaa, wilaya, mkoa Na hata mbunge wa eneo husika walikuwa wapi hadi biashara hii haramu ikaota mizizi na kustawi?!!!!
Tafadhali ndugu zangu viongozi na wananchi wapenda amani tusifumbie macho uovu wa aina hii na mwingine.
Naomba hao walio husika wachukuliwe hatua kali ZA kisheria ili iwe funzo Kwa wengine