Inaonekana ktk Jiji la DSM kuna maovu mengi sana yanaendeleea ktk jamii zetu na wananchi wame nyamaza kimyaa kama hawaoni vile!!! na viongozi hawana habari mpaka WAZIRI atoke Dodoma ndio ashughulikie!!!!
kila mara Rais Magufuli anasema viongozi tatueni kero ZA wananchi ktk maeneo yenu lkn wapi bwana!! Viongozi wamezifumbia macho kero ZA wananchi, hawana. Habari, unawezaje kuzitambua kero ZA wananchi kama uko mbali!!! Hukutani na wananchi??!!!! Kutwa ofisini??!!! Hupatikani?!!!!! Huonekani???!!!!!
Jambo la kujifunza ktk sakata hili ni;
1. Wananchi wenzangu wapenda Amani tuwe mstari wa mbele kufichua uovu/kero ktk maeneo yetu kabla madhara makubwa hayajatokea.
Kamwe tusikubali mtu au kikundi cha watu wawe juu ya sheria/hawagusiki......tutumie kila mbinu kuwafichua.
2. Kunahaja ya viongozi, Mbuge, Madiwani Na wenyeviti wa serikali Za mitaaa kukutana Na wananchi mara Kwa mara kusikiliza kero zao Na kuzitatua
3. Jeshi la POLISI pia kuna haja ya kuwa Na mikutano ya kusikiliza kero ZA wananchi ktk maeneo mbali mbali.... Itasaidia, sio patrol tu bali pia kuwa Na mikutano ya elimu Na kusikiliza kero